Haya ndio maumivu au uchungu wa kifo unaompata mtu anayekufa 'Sakaratul-Mauti'

Porojo
 
Kumbukumbu la Torati 6:10-25
Nilitegemea utaandika aya za kwenye Quran ili watu wathibitishe ulichoandika ila umeandika gazeti.
Uslamu ni dini ambayo haijakamilika kwenye mafundisho yake na haijitoshelezi kimaana.
Ukitaka kuthibitisha hilo,
1. Waislam wengi wanaijua Biblia kuliko Quran kwasababu hawana aya zinazojitosheleza ktk mafundisho yake.
2. Muislam hawezi kutoa mafundisho yake bila kuweka vifungu vya kwenye Biblia. Ukitaka kuthibitisha hilo, mwambie muislam hivi Mimi ni mkristo ni hubirie ili nishawishike ni silimu. Hapo ndiyo utajua dini ya uislamu haijakamilika na haijitoshelezi. Kitachoongelewa ni Biblia wala siyo Quran, mfano hai ni huu.
3. Waislamu waanamini ktk vitabu kwenye Biblia kumbukumbu la Torati na Zaburi ila hakuna mkristo anayeamini aya yoyote kwenye Quran.
4. mungu wao anasikia lugha moja tu ya kiarabu, km haujaswali kwa kiarabu hausikiki ndiyo maana wengi ukiwachalenji wanakimbilia kutoa mifano kwenye Biblia maana huku Mungu anasikia lugha zote. Ndiyo maana waislam wengi wanaijua Biblia kuliko Quran
 
Ni kweli kwamba MTU akifa lazima atoe haja kubwa na ndogo?
 
...Wewe Uliisha wahi Kufa, Ukayashuhudia Yote haya ? Ama ni Maandiko TU yamekuaminisha kwamba Ndivyo ilivyo?
KIFO ni SIRI ya MUNGU MWENYEWE. HAKUNA AJUAYE KWENYE KIFO KUNATOKEA NINI. [emoji120][emoji120]
 
Kama ulikuwa na roho mbaya utateseka tu🤣 ila kama hunaga baya na mtu kifo ni chepesi tu.
 
Mbona sasa hujaziweka dalili hizo katika mtiririko mathalani wa kuanzia dalili namba moja hadi ya mwisho ili wale wanaokabiliwa na kifo wataposoma wajue sasa hesabu ya siku imekaribia kutimia
 
Rekebisha andiko. alichumbia katoto ka miaka 6 aka anza kukaingilia kakiwa na miaka 9
 
Ukweli watu wasiopenda kuusikia huwa ni Kifo. Huu ndio ukweli wa Kituo cha Kwanza kuhusu Kifo: Kutengana au kuvunjika kwa uhusiano kati ya mwili na roho kunaitwa kifo. Na hayo ni mambo ya lazima kwa kila mtu nasio kutishana ndugu.
Life Asked Death Why Do People Loves Me And Hate You???
Death Replied Because Your A Beatiful Lie And I am The Painful Truth.

"DEATH IS THE PAINFUL TRUTH"
 
Acha vitisho mtoa mada
Watu wanaotapa tapa wakati wa kufa unaweza kuelezea kisayansi.Sawa na umeme unapoanza kuwa mdogo taratibu utaanza kusikia vifaa baadhi vile vilivyowekewa alarm vikianza kulalamika mfano ups za computer,haata simu yako ikianza kubakiza bar moja inaanza kuweweseka.
kwa mwili wa binadamu pia ni hivyo hivyo mawasiliano ya ubongo kupitia uti wa mgongo yakianza kukatika viungo vya mwili vikianza kukosa oxygen vinaanza kuhaha.
Ungeongelea mtu kuweweseka akifa hii ni kwa mgonjwa na hasa mtu akichinjwa au kunyongwa. je mtu akipigwa risasi ghafla ya ubongo anaweweseka vipi au akipigwa shoti ya umeme wa high voltage?
Dini ya kislam tatizo lake ndio hilo kujaribu kuelezea ubaya wa kifo wengine wanakwenda mbali zaidi kusema mtu anayekata roho anatoa sauti kali ambayo hakuna anayeisikia yenye uwezo wa kudondosha maghorofa huu ni uongo uliotukuka na wasio waislam na watasemaje.
Utaambiwa uzuri wa peponi unaogelea kwenye bahari ya asali na unapewa wanawake bikra mia

Kimsingi sipingi sana maana ni kujaribu kumkumbusha binadamu atende mema ila kiukweli sisi tunaoelewa na tuliosomea cuba tunalijua hili
 
kudadadadeq!!!!..hapa anayeweza kuvumilia ni mandonga peke yake!!
 
Duh! Hadi tumefikia hatua ya kutishana kuhusu kifo🤔
 
Kwaiyo mzimu unaanzisha uzi duuh kwel dunia imeisha
Sasa ndgu akuna alokufa akarudi kuja kutoa ushuhuda wala experience ya maumivu ya kifo

Ebu acha story zako za wazee wa kiarabu walokua wanasimuliana baada ya kumaliza kula ashua na tende kula jangwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…