Haya ndio mazingira ya soko kuu la Samaki Hai

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Hili ndilo soko kuu la samaki kwa sasa lililopo eneo la Maili Sita katika Wilaya ya Hai

Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wa samaki waliohamishiwa eneo hilo walikabidhiwa eneo hilo lisilokuwa na miundombinu yoyote inayoendana na aina hiyo ya biashara.

Hakuna miundombinu ya vyoo maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara hao, bali hutumia vyoo vilivyopo jirani na eneo hilo.

Mfumo wa maji safi na taka hakuna kutokana na. Kuwa magari huleta samaki wabichi na wengine huoshea eneo hilo hilo kabla ya kukaanga hapo na Kusafirisha.

Miundombinu ya jiko hakuna bali kila mtu hukaanga samaki hapo hapo anapoona Panafa.

Mvua na jua vinawaathiri kutokana na kuwa ni eneo la wazi na halijajengwa kwa namna yoyote ile ili liweze kuwangika na mvua wafanyabiashara hao.

Wakati huohuo hutozwa ushuru kila siku wa soko.

 
Nawaona matajiri wa moshi wakiisema Bukoba na stendi yetu ya matope...kumbe kwao ni matopeni...

Kwanza hao samaki wanawatoa wap[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…