instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Mbona hii Barabara ni ya lami kitambo Sana....tena inafika mulebaHilo ni Soko temporary,wamepelekwa for temporary
Mbona kwenu kamachumu vumbi Kali na funza hatusemi?View attachment 2556357
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hii Barabara ni ya lami kitambo Sana....tena inafika mulebaHilo ni Soko temporary,wamepelekwa for temporary
Mbona kwenu kamachumu vumbi Kali na funza hatusemi?View attachment 2556357
Moshi ni Amsterdam ndio vijijin mahekaluKuna mchaga mmoja wa kirua anasemaga moshi kama Amsterdam[emoji23][emoji23]
Hebu ona Kagera Yako Ina utapiamlo aibuuuuSo hapaswi kulipoti matatizo yenu huko...inabidi apost mazuri tu[emoji848]
Hilo ni Soko la muda masoko ya namna hiyo yapo nchi nzimaImagine[emoji23][emoji23]
Check matajiri wa nchi hii...wanajiita most successful tribe[emoji23][emoji23] ya nyoko labda...
Tanzania ni ile ile umaskini upo kila mahali
View attachment 2554399
Wachaga wanaishi Ktk Soko la muda la samaki ?Wachaga wamekaushaaa ka sio wao vile
HII Sio ya muhutweMbona hii Barabara ni ya lami kitambo Sana....tena inafika muleba
Bwawa la Nyumba ya Mungu, MwangaNawaona matajiri wa moshi wakiisema bk na stendi yetu ya matope...kumbe kwao ni matopeni...
Kwanza hao samaki wanawatoa wap[emoji23]
Nyumba ya MunguSamaki Kilimanjaro wanatoka chanzo gani?
Uchagani kote ni vijijiniWachaga ndio wanaoongoza kwa kujenga makazi bora vijijini kwa 90%
Wachaga hawaishi kwenye Soko la samaki
🤣🤣🤣Unajua kuna watu wana roho za kufa kufa tu wanatafutwa kulogwa😬
Nadhani hapo wapo wapare wa kutosha wakifaidi angalau harufuHili ndilo soko kuu la samaki Moshi Kwa sasa lililopo eneo la Mailisita katika wilaya ya Hai
Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wa samaki waliohamishiwa eneo hilo walikabidhiwa eneo hilo lisilokuwa na miundombinu yoyote inayoendana na aina hiyo ya biashara.
Hakuna miundombinu ya vyoo maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara hao, bali hutumia vyoo vilivyopo jirani na eneo hilo.
Mfumo wa maji safi na taka hakuna kutokana na. Kuwa magari huleta samaki wabichi na wengine huoshea eneo hilo hilo kabla ya kukaanga hapo na Kusafirisha.
Miundombinu ya jiko hakuna bali kila mtu hukaanga samaki hapo hapo anapoona Panafa.
Mvua na jua vinawaathiri kutokana na kuwa ni eneo la wazi na halijajengwa kwa namna yoyote ile ili liweze kuwangika na mvua wafanyabiashara hao.
Wakati huo huo hutozwa ushuru kila siku wa soko.
View attachment 2554409View attachment 2554410View attachment 2554411
Niachie hawa nawamudu,wamechukua picha ya Soko la muda ati ndio Wana define KilimanjaroYan hatupumui mnatuandama sana wiki hii
Pointless and defensive mechanism.Kilimanjaro ni mkoa WA kwanza kwa wananchi wake kuwa na makazi bora vijijini kwa 90%
Kilimanjaro vilevile ni mkoa WA pili kwa wananchi wake kuwa na per capita income kubwa
Kilimanjaro ni mkoa wenye miundombinu toshelezi karibia 90% hakuna Shida ya shule,umeme Wala zahanati Kilimanjaro
Kilimanjaro ni mkoa WA kielimu
Njooni vijijin Kilimanjaro mushuhudie makazi ya watu kama ulaya View attachment 2556373
EE mchaga Kijijin ndio makao makuuUchagani kote ni vijijini
Hâta USA ni nchi yenye uchumi mkubwa duniani lakini Kuna ombaombaNaona yule aliyekufa kutokana na kukosa hela ya kwenda hospital anatokea wap[emoji1787]?
Wale waliokufa kwa kupunguza nyumba kwa kibatali wanatokea wapi Tena sehemu mbili?
Wazee wa kujifariji..mbona tunao wenzenu wanakopa tu hawana kitu wapiga vizinga
Kumbe kagera umeenda kitambo Sana ...HII Sio ya muhutwe
Cheki Hilo vumbi duh
Kilimanjaro HAKUNA Nyumba za nyasi. Ila Kuna Nyumba za TOPE na MBAO)MABANZIHawajui Kilimanjaro ni mkoa pekee wananchi hawalali nyumba za nyasi?
Kilimanjaro yote isipokuwa Moshi ni VIJIJINIHawajui Kilimanjaro ni mkoa pekee wenye umeme vijiji vyote n'a vitongoji vyote 100%
Kwasababu Kilimanjaro ni kimkoa kidogo sana, na wakaazi ni wachache sana hasa wazee maana vijana wengi wanakimbia huu mkoa.Hawajui Kilimanjaro ni mkoa usio n'a Shida kabisa ya shule Wala zahanati?
Per capital huwa inakokotolewa kwa idadi ya watu gawa kwa uchumiHawajui Kilimanjaro ni mkoa ambao ni WA pili kwa wananchi wake kuwa na per capita income kubwa? Yaani wastani WA kipato ukiondoa dar , Kilimanjaro ndio mkoa watu wake mmoja mmoja Wana wastani WA kipato kizuri
Kukopa ni dhambi? Ukiona MTU kakopa ujue Ana uwezo maana asingekuwa na uwezo asingekopeshekaNaona yule aliyekufa kutokana na kukosa hela ya kwenda hospital anatokea wap[emoji1787]?
Wale waliokufa kwa kupunguza nyumba kwa kibatali wanatokea wapi Tena sehemu mbili?
Wazee wa kujifariji..mbona tunao wenzenu wanakopa tu hawana kitu wapiga vizinga