Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maili sita haiko Moshi MunicipalNyie si mnasemaga moshi ni kama new York [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakuja na mvuaNawaona matajiri wa moshi wakiisema bk na stendi yetu ya matope...kumbe kwao ni matopeni...
Kwanza hao samaki wanawatoa wap[emoji23]
Bwawa la nyumba ya munguSamaki Kilimanjaro wanatoka chanzo gani?
Samaki Kilimanjaro wanatoka chanzo gani?
Mshale nimekuwa digdigi mimi.Hiki ndiko kilimkuta Johnnie Walker baada ya kuandika ovyo kuhus wachaga. Wewe hautatua kichwani😀
View attachment 2554218
Kuna mchaga mmoja wa kirua anasemaga moshi kama Amsterdam[emoji23][emoji23]Thubutuuuu.
Labda Machame Mjini 🙂 🙂 🙂
So hapaswi kulipoti matatizo yenu huko...inabidi apost mazuri tu[emoji848]huwa anazunguka arusha na moshi na huwa anaripoti negative issues tu futilia mada zake utagundua
Imagine[emoji23][emoji23]Hujui tuna nyumba ya mungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila leo wachaga kama hawapo vile
Wakishaanza kujenga mighorofa ovyo tu wanapaharibu.Kuna mchaga mmoja wa kirua anasemaga moshi kama Amsterdam[emoji23][emoji23]
Mailisita ipo wilaya ya Hai si Moshi mjini kama mleta mada anavyodai. Mbunge wa hapo ni mCCM wa kuitwa MAFUE SAASHISHA.Mbunge wa hapo ni nani
Huu saashisha hamna alichokifanyaMailisita ipo wilaya ya Hai si Moshi mjini kama mleta mada anavyodai. Mbunge wa hapi ni mCCM wa kuitwa MAFUE SAASHISHA.
Hapo ni eneo isolated walipopelekwa ,HII kasumba IPO maeneo mengi ya nchi,hâta iringa juz wamachinga walipelwkwa makaburiniNyie si mnasemaga moshi ni kama new York sijui Amsterdam[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo ni Soko temporary,wamepelekwa for temporaryNawaona matajiri wa moshi wakiisema bk na stendi yetu ya matope...kumbe kwao ni matopeni...
Kwanza hao samaki wanawatoa wap[emoji23]
Wachaga ndio wanaoongoza kwa kujenga makazi bora vijijini kwa 90%Hujui tuna nyumba ya mungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila leo wachaga kama hawapo vile