Haya ndio mazingira ya soko kuu la Samaki Hai

Haya ndio mazingira ya soko kuu la Samaki Hai

Pointless and defensive mechanism.


Hamna cha maana tunao kibao wanakopa tu hapa mjini na dhulmat...kamkoa gani kadogo nyumba zipo migombani ..
Umesoma Hadi la ngapi ewe mdigo? Ukiona MTU kakopa ujue Ana dhamana ya kukopesheka means Ana uwezo
Unajua mmiliki WA Ile taasisi ya eckenford kule kwenu? Kuanzia chekechea Hadi university anaitwa bw Tarimo
 
Umesoma Hadi la ngapi ewe mdigo? Ukiona MTU kakopa ujue Ana dhamana ya kukopesheka means Ana uwezo
Unajua mmiliki WA Ile taasisi ya eckenford kule kwenu? Kuanzia chekechea Hadi university anaitwa bw Tarimo
Kukopa ni kushinda kukizi mahitaji kwa wakati husika ..

Wangapi wanakopa wanashindwa kulipa madeni yao?

Kukopa ni slogan ya kujiamini tu ! Ila Haina uhusiano zaidi ya kutokuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yako kwa wakati husika . serikali maskini ndo hukopa kila siku .
 
USHAMBA ni nyie mnaolala nyumba za nyasi Hadi sasahv
Sisi nyumba hizo zilikuwa miaka ya 1920's
Nyumba ya nyasi ila sijadhulumu mtu ,sijatapeli , naishi kwa fresh navaa napendeza sisi hatuna stress ndo maana tunaishi mda mrefu ...Mengi yupo wapi na ule mjengo si kaacha😂😂.

Takataka za kupita hatuna slogan ya uwizi , utapeli ,ulevi
 
Hivi ni vipicha vya wakati wa masika. Njoo Sasa hivi upige picha vumbi huko vijijini na vichakani
Barabara za uchagan hâta zile local zinapitika masaa 24,madaraja ya kisasa yapo vijijin kabis tazama hapa

Nb

Kilimanjaro mbuzi na ngombe zinalala kwenye block house wakati mikoa ya wenzetu hâta nyumba ya bati ni mtihani
The blessed Kilimanjaro.
FB_IMG_16367821510520689.jpg
FB_IMG_16442478315510845.jpg
FB_IMG_16367776682911406.jpg
 
Kukopa ni kushinda kukizi mahitaji kwa wakati husika ..

Wangapi wanakopa wanashindwa kulipa madeni yao?

Kukopa ni slogan ya kujiamini tu ! Ila Haina uhusiano zaidi ya kutokuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yako kwa wakati husika . serikali maskini ndo hukopa kila siku .
Basi wewe hujaenda shule
Hujui kukopa Kuna stimulate circulation ya fedha? Au naongea na form four lever?
 
Nyumba ya nyasi ila sijadhulumu mtu ,sijatapeli , naishi kwa fresh navaa napendeza sisi hatuna stress ndo maana tunaishi mda mrefu ...Mengi yupo wapi na ule mjengo si kaacha[emoji23][emoji23].

Takataka za kupita hatuna slogan ya uwizi , utapeli ,ulevi
Hizo ni défense mechanism za maskini
Kuchukia tajiri n'a kuona kaibiwa , mtaendelea n'a mawazo hayohayo Sisi tunazidi kununua maeneo karibia yote nchi HII
Infact hakuna Kijiji TZ HII utakuta mchaga hajanunua
 
Basi wewe hujaenda shule
Hujui kukopa Kuna stimulate circulation ya fedha? Au naongea na form four lever?
Circulation na katika uchumi wa riba ...Hujaenda shule au wewe hujielewi.

Nakupa kazi kaangalie wanaokopa wangapi wanafanikiwa kibiashara hata kurudisha mkopo then compare na wanaoshindwa ndo uje hapa.

Uwe unasoma sio kukariri na kucopy kazi za watu vyuoni..
 
Niachie hawa nawamudu,wamechukua picha ya Soko la muda ati ndio Wana define Kilimanjaro
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa pekee wananchi hawalali nyumba za nyasi?
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa pekee wenye umeme vijiji vyote n'a vitongoji vyote 100%
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa usio n'a Shida kabisa ya shule Wala zahanati?
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa ambao ni WA pili kwa wananchi wake kuwa na per capita income kubwa? Yaani wastani WA kipato ukiondoa dar , Kilimanjaro ndio mkoa watu wake mmoja mmoja Wana wastani WA kipato kizuri
wanatufedhehesha wameahindwa na kampeni za kataa ndoa zimefeli ndio maana wamekuja kutushambulia wachaga. Pumbavu zao. .
 
Hili ndilo soko kuu la samaki Moshi Kwa sasa lililopo eneo la Mailisita katika wilaya ya Hai

Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wa samaki waliohamishiwa eneo hilo walikabidhiwa eneo hilo lisilokuwa na miundombinu yoyote inayoendana na aina hiyo ya biashara.

Hakuna miundombinu ya vyoo maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara hao, bali hutumia vyoo vilivyopo jirani na eneo hilo.

Mfumo wa maji safi na taka hakuna kutokana na. Kuwa magari huleta samaki wabichi na wengine huoshea eneo hilo hilo kabla ya kukaanga hapo na Kusafirisha.

Miundombinu ya jiko hakuna bali kila mtu hukaanga samaki hapo hapo anapoona Panafa.

Mvua na jua vinawaathiri kutokana na kuwa ni eneo la wazi na halijajengwa kwa namna yoyote ile ili liweze kuwangika na mvua wafanyabiashara hao.

Wakati huo huo hutozwa ushuru kila siku wa soko.


View attachment 2554409View attachment 2554410View attachment 2554411
Mama aliagiza wachuuzi wapelekwe maeneo ya masoko.

Mtangulizi wake alisema andaeni miundombinu kisha muwapeleke lakini awamu hii ni kuwa suala la kufanyabiashara ni la mtu binafsi so long as analipa ushuru na kodi zingine hayo machangamoto mtajibeba wenyewe.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya awamu iliyopita na hii ya sasa.


Tafsiri siyo ya kwangu
 
Back
Top Bottom