luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] watu wenye chuki wanawazungumzia in negative badala wajifunze mazurikuna siku mchungaji wa Efatha mwingira alikuwa anasema ukiwa sehemu ya kazi na ukaona hakuna mchaga basi iyo sehemu haina pesa na haiwezi kuwa na maendeleo,vilevile mtaani kwako ukiona hakuna duka la mchaga basi ujue huo mtaa hauna pesa,na hata jela ukiingia na kuambiwa hakuna mfungwa ama mahabusu mchaga basi ujue iyo jela ni ya wajinga humo ndani,nikaja kuwaza na kuwazua nikaona ni kweli kabisa,kuna bosi wangu mmoja anabiashara zake anasema akifanya biashara na mchaga anakuwa makini nae na pesa anaiona ila akija mtu asiye mchaga anaweza sema jichagulie na asije kukugua akamruhusu aondoke zake ila akija mchaga anasema tunahesabiana kimoja baada ya kingine mwenyewe anasema akiwa anahesabiana nae akifika kati ama mwishoni mchaga lazima amchanganye wamefika labda mia mbili hamsini utasikia anasema mia mbili na 45 yaani anasemawale jamaa wana akili sana
Uzuri mmoja mchaga ameshika elimu na biashara vyote sio kama mhaya amekomaa na elimu alafu uchumi hoi