Haya ndio mazingira ya soko kuu la Samaki Hai

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] watu wenye chuki wanawazungumzia in negative badala wajifunze mazuri
Uzuri mmoja mchaga ameshika elimu na biashara vyote sio kama mhaya amekomaa na elimu alafu uchumi hoi
 
Unataka MTU avae suti akiwa biasharani? Suti ina Mda wake
Sisi tunawaza mabilion wewe kama akili Yako inawaza perfume kazi ni Kwako,utakuja kuwarithisha wajukuu perfume?
 
Sikuwah kujua kama moshi kuna samaki... Na soko kuu la, samaki ni mshangao mwingine
 
Mabilion unaenda wapi ? Wapi mengi?

Ishi current sio future [emoji23][emoji23]hyo mentality ya ushamba na watu waoga
Watu waoga na washamba ni nyie mnaowaza Léo badala ya kesho
Akili inakuwa Haina tofauti na kuku[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Acheni sifa za kishamba....

Nenda mikoa ya kusini huko njombe, mbeya,Iringa songwe nk...kule hukuti wachaga hata kidogo Hadi wale mamangi wenye viduka hakuna...

Wachaga wamejazana kaskazini na pwani huko kwingineko ni mmoja mmoja Sana...
 
Soko hilo lifungwe mara moja!
 
Mar wakinga na wapemba .[emoji23]..Tuelewe nn sasa
Sisi ndio tumeingia kariakoo na dar kwa ujumla miak ya Zaman wakfuata wapemba juzi juzi ndo wamekuja wakinga
Ukienda kimara,kibamba karibia ardhi yote ni ya wachaga
 
Acheni sifa za kishamba....

Nenda mikoa ya kusini huko njombe, mbeya,Iringa songwe nk...kule hukuti wachaga hata kidogo Hadi wale mamangi wenye viduka hakuna...

Wachaga wamejazana kaskazini na pwani huko kwingineko ni mmoja mmoja Sana...
Acha ghubu wewe mbeya,iringa,songea wapo wachaga télé tena wenye biashara au nikutajie?
Hakuna sehemu isiyo na mchaga,wachaga wamepata exposure Zaman mno mkuu both international and hapa mchin
 
Sisi ndio tumeingia kariakoo na dar kwa ujumla miak ya Zaman wakfuata wapemba juzi juzi ndo wamekuja wakinga
Ukienda kimara,kibamba karibia ardhi yote ni ya wachaga
Sisi ni customers wala hatuna stress maana tunajua duniani tunapita
 
Acha ghubu wewe mbeya,iringa,songea wapo wachaga télé tena wenye biashara au nikutajie?
Hakuna sehemu isiyo na mchaga,wachaga wamepata exposure Zaman mno mkuu both international and hapa mchin
Nilikuwa huko...huko kumejaa wakinga, wanyiha na kwa mbali wanyakyusa...

Wachaga hawapo kabisa...kama wapo basi wameajiriwa huko...

Huko kanda ya ziwa hawatambi hata kidogo...nyinyi mmejazana Dar na Arusha basi tena sehemu zenyew ni slums kama Kimara na mbezi...

Lakin check ndugu zenu mnaowaacha moshi[emoji23]
Vijumba vimechokaaa..mabati meusi[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…