Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Mbona wangari mstaarabu Sana mkuu.au umemfananisha??
 
umesahau yule moderator anae foka hovyo!! km amekula fyongo anaitwa nani vile....
 
🤣🤣🤣 Daa hao wapigwa ban nimewagusa wawili hapo na kuta wako banned
 
Mbona huyo Wangari Mathai yupo kila kinda. Yeye anapewa cheo gani?
 
Alipigwa ban matata sana mpaka akaweweseka!! sijui km atarudi ulingoni!! si unajua Wakenya wana hasira sana!! Mara ya mwisho nilimuona TMK Hosp. anapita ivi kwenye wheel chair sasa sijui ndo nini ile??
We jamaaa
 
kuna hili zeee la kiingedha cha vibomba uchwara vya kulazimisha vile!! unajua kabisaaa huyu hayuko fluent ktk hili lkn analazimisha tu! mpaka wadhungu wenyewe hawaelewiga...... sijui kirangi kirang'a mtanisahihisha huko pancha .....or pancho vile!! Kira, any way lkn ivo!
 
Wahuni tu hao na wana mrengo wa kunichafua
Mwingine huyu hapa ...Daaa!! wewe umekulia humu humu mpaka umekuwa maarufu!! hii picha yako ni halisi ni kama nakuonaga kariakoo posta wewe!! na sometimes sana palee mtaa wa sikukuu ---COmforty Dispensary !! kwa Saju Hotel au siyo wewe Mzee??
 
Haupo mbali na ukweli😅
 
Kazee kana complications sana haka...vya namna hii kuoa huwaga shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…