Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Mbona wangari mstaarabu Sana mkuu.au umemfananisha??No no...kwan mkuu mbona upumbavu wa mtu ni rahis tu kuujua .
NB
.humu ndan nafahamiana na dogo mmoja tu huyu dogo licha ya kumzid umri ila namkubal sana maana alinishauri niache kazi kisa nalipwa 700k wkati yeye hata kazi hana ila alinipa reasons. nikarud mtaan kuanza upya after 6 months nikapata deal ya kulipwa 4x ya mshahara wa kwanza.Na hiyo yote hatukua tumeonana.So humu ndan najuana na mtu mmoja tu...