Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba una kumbukumbu sana aisee [emoji1787][emoji3]..Kuna mada za pombe kali za bei mbaya pia, kuna mada ya magari mtu anadai hawezi panda hizi IST yeye boy wake ana BMW X6.
Hiyo ya kubishana na Jack of all trades master of none ilitokea kwenye ile issue ya vocha za kulipwa na app gani sijui miaka mitatu iliyopita. Kuna jamaa nahisi alipigwa ban ndefu wakati alikuwa sahihi.
Uache kujifaraguaSasa niwasaidiaje hapo mkuu
Mnamchokoza mnamumpenda sana na anawapotezeaKila kona kawekwa hahaha
Shem shemAhsante kwa taarifa...
Mpwa, huyu mtoa mada ana chuki na sisi.Kwa hiyo umeamua kumuweka Wangari Maathai makundi yote, kwamba yeye anawakilisha makundi yote...mbona sio poa hata asee!
Life is short..focus on what matters..ingawa uzi nautafuta siuoni mie naona tag zako tu🤣🤣!🥂🥂🥂Kwa hiyo umeamua kumuweka Wangari Maathai makundi yote, kwamba yeye anawakilisha makundi yote...mbona sio poa hata asee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mali zenyewe kijiko na kuku wenye mdondo
So kumbe hatutakiwi kuandika tunachofeel au? Kwamba niache jukwaa za siasa au..pole kwa kuteseka..am here to stay👊The EXQUISITE THREAD.......👍👍👊👊👍👍👍🤣🤣🤣🤣
*******************
Mkuu Wangari Maathai ametajwa Sana.....🤣🤣🤣
Regards to EXTROVERT !!
Hapana mkuu....sijamaanisha hivyo...🤣🤣So kumbe hatutakiwi kuandika tunachofeel au? Kwamba niache jukwaa za siasa au..pole kwa kuteseka..am here to stay👊
🤣Hata kwetu wapo.
Mie wala hata sielewi ni nn...bas naenjoy tu kwa raha zangu..tena nije nitafte tsht yangu ya chadema every satoo natingaHapana mkuu....sijamaanisha hivyo...🤣🤣
Umekwenda mbali mkuu....mimi sinyongi uhuru wa WENGINE....
Nilichosema tu umetajwa sana katika huu uzi wenye kuchekesha mkuu wangu Wangari Maathai....
Relax mkuu wangu🤣