Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Kuna mada za pombe kali za bei mbaya pia, kuna mada ya magari mtu anadai hawezi panda hizi IST yeye boy wake ana BMW X6.

Hiyo ya kubishana na Jack of all trades master of none ilitokea kwenye ile issue ya vocha za kulipwa na app gani sijui miaka mitatu iliyopita. Kuna jamaa nahisi alipigwa ban ndefu wakati alikuwa sahihi.
Mwamba una kumbukumbu sana aisee [emoji1787][emoji3]..
 
The EXQUISITE THREAD.......👍👍👊👊👍👍👍🤣🤣🤣🤣

*******************
Mkuu Wangari Maathai ametajwa Sana.....🤣🤣🤣

Regards to EXTROVERT !!
 
So kumbe hatutakiwi kuandika tunachofeel au? Kwamba niache jukwaa za siasa au..pole kwa kuteseka..am here to stay👊
Hapana mkuu....sijamaanisha hivyo...🤣🤣

Umekwenda mbali mkuu....mimi sinyongi uhuru wa WENGINE....

Nilichosema tu umetajwa sana katika huu uzi wenye kuchekesha mkuu wangu Wangari Maathai....

Relax mkuu wangu🤣
 
Mie wala hata sielewi ni nn...bas naenjoy tu kwa raha zangu..tena nije nitafte tsht yangu ya chadema every satoo natinga
 
Back
Top Bottom