Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Kuna mada za pombe kali za bei mbaya pia, kuna mada ya magari mtu anadai hawezi panda hizi IST yeye boy wake ana BMW X6.

Hiyo ya kubishana na Jack of all trades master of none ilitokea kwenye ile issue ya vocha za kulipwa na app gani sijui miaka mitatu iliyopita. Kuna jamaa nahisi alipigwa ban ndefu wakati alikuwa sahihi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF wote tunasukuma ndinga za Mjerumani
 
Kuna mada za pombe kali za bei mbaya pia, kuna mada ya magari mtu anadai hawezi panda hizi IST yeye boy wake ana BMW X6.

Hiyo ya kubishana na Jack of all trades master of none ilitokea kwenye ile issue ya vocha za kulipwa na app gani sijui miaka mitatu iliyopita. Kuna jamaa nahisi alipigwa ban ndefu wakati alikuwa sahihi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]

Hii mada sijui iilinipitaje haaa haaa

Anyway mkuu si utaje tu mbona unaweweseka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]

JF bana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Yaan ni hatua kwa hatua step by step

Mimi siwezi kukumbuka mavitu yote haya ya jf...[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hahah, kanikumbusha tu ile thread ya Jack of all trades, watu waliompinga walitembezewa ban sio poa na walikua sahihi sasa. 😀
 
Back
Top Bottom