Haya ndiyo hutokea pale Mwanaume anaposhindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo

Haya ndiyo hutokea pale Mwanaume anaposhindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Wewe jifanye hamnazo, kunywa mapombe yako hadi visunguraz kula hizo bangi na viroba vyake. Jitoe akili unavyoweza, zaa na kuzalisha, kimbia familia na kutelekeza watoto lakini ujue haya ndio huja kutokea baadae.

Weka feminism system au endeleza masculinity but ikiwa Mwanaume atakosa kutimiza wajibu wake basi kama Jamii, Taifa na Dunia haya ndio hutoke.

Kwa utitiri wa Wanawake hao wanavyodhalilika kwa kujivua nguo ili wapate pesa za kulea watoto, kusomesha, kula na kukidhi mahitaji unaona ni sawa.

Je haki za wanawake zimewekwa rehani? Wanaume kwanini tumekuwa wanyama kiasi hiki? Unamchagua Mwanamke kwenye Mafungu kama dagaa?

NA hao wazungu wanaodhani wanawapenda wanawake kwa nini wanawaacha wanadhalilika kiasi hicho? Wanatembea uchi kama ngedere?

Nimecheka sana.....Hahaha......hako kamchina kamemvuta mwanaume aliyekuwa anapita jamaa akasema

"Umebeba dumu la petroli hebu niache" kakajunja mabega kama demu.

Hahahaha
 
Uzi Bora wa 2025...

Mwanaume asipojitambua na jamii nayo haijitambui...

Ikiwa wewe mwanaume ni kichwa sasa kikiwa kimekatwa na kiwiliwili kinahangaika...
Matatizo mengi ni matokeo ya Mwanaume kutotimiza wajibu wake.

Alipo Mwanaume akasimama.kidete haijalishi hali yake ya kiuchumi wa kihali. Ukiangalia hiyo clip inasikitisha sana
 
Matatizo mengi ni matokeo ya Mwanaume kutotimiza wajibu wake.

Alipo Mwanaume akasimama.kidete haijalishi hali yake ya kiuchumi wa kihali. Ukiangalia hiyo clip inasikitisha sana
Ni kweli wanalaumu wanawake kujitafuta kiuchumi kwa kudanga ila chanzo ni wao wanakwepa majukumu...
 
Wanaume tunahusika vipi na hii shida ya wanawake wanaojiuza? Wanawake ndio wajitambue wafanye kazi kwa bidii, wasome kwa bidii na watambue kuwa miili yao sio chanzo cha mapato. Ukiwa mwanamke halafu hauna kipato chochote ni dakika tu utaangukia kwenye kujiuza. Kazi ni kipimo cha utu. Asiye fanya kazi na asile
 
Wengi wao wamekimbiwa na waume zao, wamezalishwa watoto na kuachwa wakitapatapa. Hali zao ukiwahoji zina reflect chanzo ni Mwanaume.
 
Sio kweli. Katika kila watanzania 10 maskini 7 niwanawake. Kwamujibu wa tafiti. Wanatakiwa kujitafakari
Kutokana wanaume tunawafuja.

Mdada hata miaka 25 hajafika tayari umeshamfanya single maza. Atatoboa kweli huyu?
 
Kutokana wanaume tunawafuja.

Mdada hata miaka 25 hajafika tayari umeshamfanya single maza. Atatoboa kweli huyu?
🤣 ,, nilazima akae kwa akili sasa. Unajua wanawake wanajua kuishi maisha expensive lakini kutafuta hawajui utakuta mwanamke hadi huo umri hana chochote , sasa huyu akizalishwa na kijana wa hovyo inabidi arudi kwa wazazi , kama hakueleweki hali inakuwa mbaya zaidi. Kuna mtu atasema nijukumu letu sisi , lakini kuishi ukitegemea mtu mwingine ndio apate , ndio ule na siku likitokea la kutokea basi maisha yako yanaharibika jumla nimaisha magumu sana.
 
Back
Top Bottom