Haya ndiyo hutokea pale Mwanaume anaposhindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo

Haya ndiyo hutokea pale Mwanaume anaposhindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo

Maku zinauzwa hadharani jua la utosi?

Balaa hili,ila sijaelewa lawama kwa mwanaume zinatoka wapi ikiwa wanawake ndiyo hao wakifuatwa kuolewa mapema hawataki wakishakutana na wahuni wenzao wakawazalisha ndiyo hujifanya kutafuta mume kumekucha wakikosa wanaingia barabarani kama hivyo.
 
Wewe jifanye hamnazo, kunywa mapombe yako hadi visunguraz kula hizo bangi na viroba vyake. Jitoe akili unavyoweza, zaa na kuzalisha, kimbia familia na kutelekeza watoto lakini ujue haya ndio huja kutokea baadae.

View attachment 3419224

Weka feminism system au endeleza masculinity but ikiwa Mwanaume atakosa kutimiza wajibu wake basi kama Jamii, Taifa na Dunia haya ndio hutoke.

Kwa utitiri wa Wanawake hao wanavyodhalilika kwa kujivua nguo ili wapate pesa za kulea watoto, kusomesha, kula na kukidhi mahitaji unaona ni sawa.

Je haki za wanawake zimewekwa rehani? Wanaume kwanini tumekuwa wanyama kiasi hiki? Unamchagua Mwanamke kwenye Mafungu kama dagaa?

NA hao wazungu wanaodhani wanawapenda wanawake kwa nini wanawaacha wanadhalilika kiasi hicho? Wanatembea uchi kama ngedere?

Nimecheka sana.....Hahaha......hako kamchina kamemvuta mwanaume aliyekuwa anapita jamaa akasema

"Umebeba dumu la petroli hebu niache" kakajunja mabega kama demu.

Hahahaha
Nchi gani hii
 
Na hao wahuni si wanaume?
 
Kufika huko nauli ni kiasi gani mkuu nataka nikagombaniwe na mimi, sio kila siku nagombaniwa na makondakta wa daladala
 
Wengi wao wamekimbiwa na waume zao, wamezalishwa watoto na kuachwa wakitapatapa. Hali zao ukiwahoji zina reflect chanzo ni Mwanaume.
Ukiona mwanaume amemkimbia mwanamke jua huyo mwanamke ana tatizo kubwa si tunaishi nao tunaona?

Kama kumkimbia mwanamke ni simple hivyo mbona mimi sijioni nikitaka kumuacha huyu ninaeishi nae mwaka wa kumi na tatu huu?wanawake mna shida kubwa ujuaji kelele nyingi mke akiwa na hizi tabia hata kama mzuri vipi hakuna wa kuishi nae.
 
Wewe jifanye hamnazo, kunywa mapombe yako hadi visunguraz kula hizo bangi na viroba vyake. Jitoe akili unavyoweza, zaa na kuzalisha, kimbia familia na kutelekeza watoto lakini ujue haya ndio huja kutokea baadae.

View attachment 3419224

Weka feminism system au endeleza masculinity but ikiwa Mwanaume atakosa kutimiza wajibu wake basi kama Jamii, Taifa na Dunia haya ndio hutoke.

Kwa utitiri wa Wanawake hao wanavyodhalilika kwa kujivua nguo ili wapate pesa za kulea watoto, kusomesha, kula na kukidhi mahitaji unaona ni sawa.

Je haki za wanawake zimewekwa rehani? Wanaume kwanini tumekuwa wanyama kiasi hiki? Unamchagua Mwanamke kwenye Mafungu kama dagaa?

NA hao wazungu wanaodhani wanawapenda wanawake kwa nini wanawaacha wanadhalilika kiasi hicho? Wanatembea uchi kama ngedere?

Nimecheka sana.....Hahaha......hako kamchina kamemvuta mwanaume aliyekuwa anapita jamaa akasema

"Umebeba dumu la petroli hebu niache" kakajunja mabega kama demu.

Hahahaha
Ni Huzuni kubwa sana hii.Na hali hii inaweza kufika kwetu.yaani hao unawaona wakawa ni mabinti zako au dada zako au mama zako wadogo. Kwenye issue ya malezi zinahusika pande zote mbili kuwa na sauti moja.acha pale inapokuwa ni sababu ya wazazi kutengana au sababu za kiuchumi.lakini hata kama ni mama uko pekee yako umezalishwa.ukiwa huna msaada inabidi kupambana kufanya kazi. ukizalishwa mwaume akakimbia na wewe ukaendelea kutaka maisha ya mteremko utakwama chap.Pambana kama mwehu acha kulia lia huo muda unaopoteza kwenda ustawi wa jamii kila siku kulalamika unaweza usilingane na utakachoambulia.tumia muda mwingi kupambana.Fanya kazi ishi maisha ya kawaida.Halafu kifunze kuto kudanganyika tena.Nakwambia utashangaa Mungu anavyokusaidia.maana utakuta mtu ametelekezwa na wanaume sita.yaani kila mwanaume amemzalisha akamkimbia.Hilo linakuwa ni tatizo lako binafsi

Hapa sababu inaweza kuwa ni uchumi duni lakini pia malezi mabaya ya zile familia zenye uwezo.masalani,watoto wanalelewa na boarding,au na wasaidizi wa kazi kwa asilimia 100%.wazazi ni kulipa ada na transport ya shule.hala wanafukuza maisha.kuna vitabia vinaanza kidogo halafu vinachukua miea kukomaa.ukiwahi hicho kitabia unaweza kikomesha.sasa inategemea muda unaotumia kuwa na watoto wako.

Lakini pia kuna kitabia unaona kinadevelop cha mtoto wako halafu unapuuzia.

inapokuja suala ya kumlea mtoto,kuwepo na majadiliano naye sana.kuna mambo mengine ni ya AMRI.mtoto hataki shule halafu unaishia kusema dunia itakufundisha.halafu unakuta binti au kijana flan hivi wa kwenye balehe.

Ndiyo maana wakati mwingine wazazi wqchukie likizo watoto wao wanapokuwa wako likizo.Ukishinda na mwanao kwa wiki moja nzima toka asubuhi mpaka jioni.utagundua mienendo isiyo sahihi.na pia kuwaeleza ukweli kwa hatari zinazowakabili
 
Na hao wahuni si wanaume?
Yes,lakini wanaume wasiojielewa vile vile kama walivyo wapo pia wanawake wasioolewa kwa sababu hukutana na wahuni wenzao.

Kila mwanamke anapokuwa bado msichana hakosi offer ya mahusiano serious yenye future tatizo huwa hawaoni umuhimu wake wakati huo mpaka umri unaposogea sogea wakiwa wameshatumika kisawa sawa ndipo hutaka kutulia.
 
Wanataka kuonja na kuenjoy usichana wao. Wewe unataka mtoto miaka 20 tu ushamzalisha bandika bandua mpaka afike 35 kachoka sana
 
Ni Huzuni kubwa sana hii.Na hali hii inaweza kufika kwetu.yaani hao unawaona wakawa ni mabinti zako au dada zako au mama zako wadogo.
Kweli kabisa Kaka, hii haki inachekesha kama haifa kwenye familia yako. Ndio maana tunahamasishana tuwe na mazungumzo ya pamoja. Sio kuondia kabisa tatixzo lamjni angalau kupunguza madhara
 
Pambana kama mwehu acha kulia lia huo muda unaopoteza kwenda ustawi wa jamii kila siku kulalamika unaweza usilingane na utakachoambulia.tumia muda mwingi kupambana.Fanya kazi ishi maisha ya kawaida.Halafu kifunze kuto kudanganyika tena.Nakwambia utashangaa Mungu anavyokusaidia.maana utakuta mtu ametelekezwa na wanaume sita.yaani kila mwanaume amemzalisha akamkimbia.Hilo linakuwa ni tatizo lako binafsi
Umeongea pointi kabisa
 
Mwanaume hakuumbwa kushindana na mwanamke wala mwanamke hakuletwa kwa,sababu hiyo. sasa inapotokea hilo la kushindana matokeo yake ndio kama hayo mkuu
Tumeumbwa kukamilishana na hata hivyo lengo la 50/50 sio kushindana.

Hii perception baadhi ya Wanawake wameipokea kinyume
 
Kweli wanaume tumebaki wachache sana hivi wewe unaamini haya yanafanyika kwa sababu wanaume hawaja timiza wajibu wao? Wewe unamjua mlinzi wa ndoa? Watu wanao jifanya kutetea haki za wanawake ndio waliotufikisha hapa
 
Kama mzazi imeniuma lakini kama kiongozi imeniuma zaidi
 
Back
Top Bottom