Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Matatizo mengi ni matokeo ya Mwanaume kutotimiza wajibu wake.Uzi Bora wa 2025...
Mwanaume asipojitambua na jamii nayo haijitambui...
Ikiwa wewe mwanaume ni kichwa sasa kikiwa kimekatwa na kiwiliwili kinahangaika...
Ni kweli wanalaumu wanawake kujitafuta kiuchumi kwa kudanga ila chanzo ni wao wanakwepa majukumu...Matatizo mengi ni matokeo ya Mwanaume kutotimiza wajibu wake.
Alipo Mwanaume akasimama.kidete haijalishi hali yake ya kiuchumi wa kihali. Ukiangalia hiyo clip inasikitisha sana
Wengi wao wamekimbiwa na waume zao, wamezalishwa watoto na kuachwa wakitapatapa. Hali zao ukiwahoji zina reflect chanzo ni Mwanaume.Wanaume tunahusika vipi na hii shida ya wanawake wanaojiuza? Wanawake ndio wajitambue wafanye kazi kwa bidii, wasome kwa bidii na watambue kuwa miili yao sio chanzo cha mapato. Ukiwa mwanamke halafu hauna kipato chochote ni dakika tu utaangukia kwenye kujiuza. Kazi ni kipimo cha utu. Asiye fanya kazi na asile
Sijui experience yako lakini mimi kwa upande wangu naweza kusema Wanawake n8 wachapa kazi sana. Tunashindwa kuwatumia ipasavyo.Tatizo kubwa la wanawake ni Ujinga na Uvivu.
Sio kweli. Katika kila watanzania 10 maskini 7 niwanawake. Kwamujibu wa tafiti. Wanatakiwa kujitafakariSijui experience yako lakini mimi kwa upande wangu naweza kusema Wanawake n8 wachapa kazi sana. Tunashindwa kuwatumia ipasavyo.
Ni sawa. Lakini mwanamke anakubalije kuzaa wakati hana chanzo chochote cha mapato? Je huyo mwanaume akikimbia, akifa , nilaima wajitathimini upya sasa sio zamaniWengi wao wamekimbiwa na waume zao, wamezalishwa watoto na kuachwa wakitapatapa. Hali zao ukiwahoji zina reflect chanzo ni Mwanaume.
Kutokana wanaume tunawafuja.Sio kweli. Katika kila watanzania 10 maskini 7 niwanawake. Kwamujibu wa tafiti. Wanatakiwa kujitafakari
🤣 ,, nilazima akae kwa akili sasa. Unajua wanawake wanajua kuishi maisha expensive lakini kutafuta hawajui utakuta mwanamke hadi huo umri hana chochote , sasa huyu akizalishwa na kijana wa hovyo inabidi arudi kwa wazazi , kama hakueleweki hali inakuwa mbaya zaidi. Kuna mtu atasema nijukumu letu sisi , lakini kuishi ukitegemea mtu mwingine ndio apate , ndio ule na siku likitokea la kutokea basi maisha yako yanaharibika jumla nimaisha magumu sana.Kutokana wanaume tunawafuja.
Mdada hata miaka 25 hajafika tayari umeshamfanya single maza. Atatoboa kweli huyu?
NaifahamuHivi unajua maana ya ,50/50 mkuu? au na,wewe leo umekuwa nabii! unapigania umma wako?
Naifahamu
Kama unaifahamu ndg,dkt hamna sababu ya kutafuta mchawi tugawane kila kitu kwa hakiNaifahamu
Hahaha......kwa hiyo 50/50 ndiyo imewafikisha hapo?Kama unaifahamu ndg,dkt hamna sababu ya kutafuta mchawi tugawane kila kitu kwa haki
Hahaha mkuu upo vizuri Thailand ukiingia kichwa kichwa unasema umepata pisi kumbe ina kipisi cha ukuniHiyo si mitaa ya Pattaya~Thailand.
"Lediboizi" wako shazi hapo.