Nchi gani hiiWewe jifanye hamnazo, kunywa mapombe yako hadi visunguraz kula hizo bangi na viroba vyake. Jitoe akili unavyoweza, zaa na kuzalisha, kimbia familia na kutelekeza watoto lakini ujue haya ndio huja kutokea baadae.
View attachment 3419224
Weka feminism system au endeleza masculinity but ikiwa Mwanaume atakosa kutimiza wajibu wake basi kama Jamii, Taifa na Dunia haya ndio hutoke.
Kwa utitiri wa Wanawake hao wanavyodhalilika kwa kujivua nguo ili wapate pesa za kulea watoto, kusomesha, kula na kukidhi mahitaji unaona ni sawa.
Je haki za wanawake zimewekwa rehani? Wanaume kwanini tumekuwa wanyama kiasi hiki? Unamchagua Mwanamke kwenye Mafungu kama dagaa?
NA hao wazungu wanaodhani wanawapenda wanawake kwa nini wanawaacha wanadhalilika kiasi hicho? Wanatembea uchi kama ngedere?
Nimecheka sana.....Hahaha......hako kamchina kamemvuta mwanaume aliyekuwa anapita jamaa akasema
"Umebeba dumu la petroli hebu niache" kakajunja mabega kama demu.
Hahahaha
Na hao wahuni si wanaume?Maku zinauzwa hadharani jua la utosi?
Balaa hili,ila sijaelewa lawama kwa mwanaume zinatoka wapi ikiwa wanawake ndiyo hao wakifuatwa kuolewa mapema hawataki wakishakutana na wahuni wenzao wakawazalisha ndiyo hujifanya kutafuta mume kumekucha wakikosa wanaingia barabarani kama hivyo.
Ukiona mwanaume amemkimbia mwanamke jua huyo mwanamke ana tatizo kubwa si tunaishi nao tunaona?Wengi wao wamekimbiwa na waume zao, wamezalishwa watoto na kuachwa wakitapatapa. Hali zao ukiwahoji zina reflect chanzo ni Mwanaume.
Mwanaume hakuumbwa kushindana na mwanamke wala mwanamke hakuletwa kwa,sababu hiyo. sasa inapotokea hilo la kushindana matokeo yake ndio kama hayo mkuuHahaha......kwa hiyo 50/50 ndiyo imewafikisha hapo?
Ni Huzuni kubwa sana hii.Na hali hii inaweza kufika kwetu.yaani hao unawaona wakawa ni mabinti zako au dada zako au mama zako wadogo. Kwenye issue ya malezi zinahusika pande zote mbili kuwa na sauti moja.acha pale inapokuwa ni sababu ya wazazi kutengana au sababu za kiuchumi.lakini hata kama ni mama uko pekee yako umezalishwa.ukiwa huna msaada inabidi kupambana kufanya kazi. ukizalishwa mwaume akakimbia na wewe ukaendelea kutaka maisha ya mteremko utakwama chap.Pambana kama mwehu acha kulia lia huo muda unaopoteza kwenda ustawi wa jamii kila siku kulalamika unaweza usilingane na utakachoambulia.tumia muda mwingi kupambana.Fanya kazi ishi maisha ya kawaida.Halafu kifunze kuto kudanganyika tena.Nakwambia utashangaa Mungu anavyokusaidia.maana utakuta mtu ametelekezwa na wanaume sita.yaani kila mwanaume amemzalisha akamkimbia.Hilo linakuwa ni tatizo lako binafsiWewe jifanye hamnazo, kunywa mapombe yako hadi visunguraz kula hizo bangi na viroba vyake. Jitoe akili unavyoweza, zaa na kuzalisha, kimbia familia na kutelekeza watoto lakini ujue haya ndio huja kutokea baadae.
View attachment 3419224
Weka feminism system au endeleza masculinity but ikiwa Mwanaume atakosa kutimiza wajibu wake basi kama Jamii, Taifa na Dunia haya ndio hutoke.
Kwa utitiri wa Wanawake hao wanavyodhalilika kwa kujivua nguo ili wapate pesa za kulea watoto, kusomesha, kula na kukidhi mahitaji unaona ni sawa.
Je haki za wanawake zimewekwa rehani? Wanaume kwanini tumekuwa wanyama kiasi hiki? Unamchagua Mwanamke kwenye Mafungu kama dagaa?
NA hao wazungu wanaodhani wanawapenda wanawake kwa nini wanawaacha wanadhalilika kiasi hicho? Wanatembea uchi kama ngedere?
Nimecheka sana.....Hahaha......hako kamchina kamemvuta mwanaume aliyekuwa anapita jamaa akasema
"Umebeba dumu la petroli hebu niache" kakajunja mabega kama demu.
Hahahaha
Yes,lakini wanaume wasiojielewa vile vile kama walivyo wapo pia wanawake wasioolewa kwa sababu hukutana na wahuni wenzao.Na hao wahuni si wanaume?
Wanataka kuonja na kuenjoy usichana wao. Wewe unataka mtoto miaka 20 tu ushamzalisha bandika bandua mpaka afike 35 kachoka sanaYes,lakini wanaume wasiojielewa vile vile kama walivyo wapo pia wanawake wasioolewa kwa sababu hukutana na wahuni wenzao.
Kila mwanamke anapokuwa bado msichana hakosi offer ya mahusiano serious yenye future tatizo huwa hawaoni umuhimu wake wakati huo mpaka umri unaposogea sogea wakiwa wameshatumika kisawa sawa ndipo hutaka kutulia.
Kweli kabisa Kaka, hii haki inachekesha kama haifa kwenye familia yako. Ndio maana tunahamasishana tuwe na mazungumzo ya pamoja. Sio kuondia kabisa tatixzo lamjni angalau kupunguza madharaNi Huzuni kubwa sana hii.Na hali hii inaweza kufika kwetu.yaani hao unawaona wakawa ni mabinti zako au dada zako au mama zako wadogo.
Umeongea pointi kabisaPambana kama mwehu acha kulia lia huo muda unaopoteza kwenda ustawi wa jamii kila siku kulalamika unaweza usilingane na utakachoambulia.tumia muda mwingi kupambana.Fanya kazi ishi maisha ya kawaida.Halafu kifunze kuto kudanganyika tena.Nakwambia utashangaa Mungu anavyokusaidia.maana utakuta mtu ametelekezwa na wanaume sita.yaani kila mwanaume amemzalisha akamkimbia.Hilo linakuwa ni tatizo lako binafsi
Tumeumbwa kukamilishana na hata hivyo lengo la 50/50 sio kushindana.Mwanaume hakuumbwa kushindana na mwanamke wala mwanamke hakuletwa kwa,sababu hiyo. sasa inapotokea hilo la kushindana matokeo yake ndio kama hayo mkuu