Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

Acha uhuni. Anzisha uzi..
 
Ms R tutafika kileleni ? Wengi hawakufika kileleni ujue ๐Ÿ˜
Oi Mzee mwenzangu Mpaji Mungu namuuliza Mwanao tutafika kileleni? ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
Sijui unamaaanisha kilele kipi? Lkn kama ni kule juu ya mlima Hanang kunafikika vizuri, huu upande uliomomonyoka juzi kati ni ngumu kupanda mlima ila Kuna upande (jiina la kile kijiji sikumbuki) kunapandika vizuri slope ya kawaiida
 
Kama kileleni kunafifika haina shida Mzee mwenzangu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mimi nilikuja nayo kama kg20 wenyeji wanauza 7000 tu Tena walisema nimepigwa nikayaleta nyumbani
Acha tu pale kuna chumvi safi kabisa nyeupe kama theluji miaka ya 95 tulikuwa tuna nunua pale gunia kwa Tsh 600 tu,ukifika pale ndo utajua hii nchi imebarikiwa sana,wakenya walikuwa wanakuja kusomba kwa tones kupeleka kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ