Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
DuuuhHahahaaa. Mie pia namkubali sana aiseee. Hana maneno mengi kamwe.
Basi tuko sawa rafiki. Mie najuaga Mndali tu hilo lingine sinaga habari nalo kabisaaa. [emoji85].
Ila ukalisome bwana halafu uje kunifundisha namna ya kulitamka. [emoji12]
Leo mmenifanya nicheke sana tena kwa sautiMie naonaga uvivu kulisoma lote rafiki naona kama siliwezi vile, ila nitalipitia kwa umakini zaidi
Avater yake eti mtu anapika kwa kutumia gesi ya kuungia vyuma
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Hahahaa. Wacha uvivu bwana na wewe. [emoji12] [emoji12]
Siku ya kwanza kuiona nilicheka sana ujue. Sababu pale sijui kama chakula chaweza iva rafiki.
Basi najipa kazi mie nitalisoma halafu nitakufundisha wewe. Hahahaaaa.
Jirani upooo?kwema humu wana ndugu
Kuna majina yanasomwa kwa lugha za asiliBUJIBUJI..JINI KISIRANI
Muite afafanue asee
Nimwite na shunie aje amwite dadangu Tumosa awasadie kufafanuaMuite afafanue asee
nipo jiran vibaya hivyoJirani upooo?
hamn shid hatuchoki kukungoja sieHahaha! mimi ni mbeba box dada labda nikodi bajaji inayoruka angani.
hha hakuna shida mgeni wetuNjoo pm unielekeze njia ili wasije fika wengine kabla yangu..😀😀
Embu muiteNimwite na shunie aje amwite dadangu Tumosa awasadie kufafanua
Jirani hii tabia ya kwenda sehemu bila kualikana ni dalili za kupungua kwa upendonipo jiran vibaya hivyo
ShunieEmbu muite
Dada [emoji137] [emoji137] [emoji137]kwema humu wana ndugu
upend wangu hauwez kupungua ila umebadilika jiranJirani hii tabia ya kwenda sehemu bila kualikana ni dalili za kupungua kwa upendo
miss you damu yangu[emoji7]Dada [emoji137] [emoji137] [emoji137]
Sio siri ID yako haitamkiki aisee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]