Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Ata kuisoma tu inatakiwa uwe umeshibaSio siri ID yako haitamkiki aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata kuisoma tu inatakiwa uwe umeshibaSio siri ID yako haitamkiki aisee
Jirani tujirekebishe tuwe tunaitana maana yaliyo pita si ndwele tugange yajayoupend wangu hauwez kupungua ila umebadilika jiran
Nimekaliwa kooni na Jamhuri, nipo hapa naibia muda tumiss you damu yangu[emoji7]
Na wewe unashindwa kutamka kweliSio siri ID yako haitamkiki aisee
mie sina kinyongo jiraniJirani tujirekebishe tuwe tunaitana maana yaliyo pita si ndwele tugange yajayo
haha nimejua tu piga kaz mdog wangu siwajua bab jesca tenNimekaliwa kooni na Jamhuri, nipo hapa naibia muda tu
Nitatafuta siku niwape maanake na hili ndo jina langu halisiAta kuisoma tu inatakiwa uwe umeshiba
Napata shida sana hadi nitamke herufi kwa herufiNa wewe unashindwa kutamka kweli
Au ndio ule uvivu wa mtanzania
Umeona yani jina lilivyo gumu mpaka upate siku maalumu ya kuelezeaNitatafuta siku niwape maanake na hili ndo jina langu halisi
Hahahahaaaaaa.haha nimejua tu piga kaz mdog wangu siwajua bab jesca ten
Usijali mkuu we uwe unatamka mndali inatoshaNapata shida sana hadi nitamke herufi kwa herufi
hawez kabisa tenaHahahahaaaaaa.
Nitamdai vyeti vya Babu na Bibi yake akitaka kunitumbua
Uwe unatamka mndali inatoshaUmeona yani jina lilivyo gumu mpaka upate siku maalumu ya kuelezea
Dawa ya moto ni motohawez kabisa tena
Kuliandika umelimalizaKuna ndugu yangu huyu Mndali ndanyelakakomu hili jina pasi kutumia Web siwezagi kulitag na hata kulisoma sijawahi limaliza naishia Mndali tu.
Hapo sawa ndio kitonga chenyewe hichoUsijali mkuu we uwe unatamka mndali inatosha
Hem litamke tusikiembona langu lipo kawaida tu