Haya ndiyo mambo ya ajabu niliyowahi kuona na kushuhudia kwa macho yangu, sitoyasahau katika maisha yangu

Ulizipata?
 
Ulifanikisha suala lako au uliishia njiani?
 
ee bwana Nikiwa chuo miaka flani ,niliopoa pis ya chuo kozi tofauti na Mimi. .tukawa tuna date nae,. Nikumbuka siku Moja Ile pisi ilikuja geto usiku ,muhuni nikajikoki kula mzigo.
Bas bana badae usiku nkala mzigo then tukalala ,Ile mida ya usku nikawa naota ndoto pisi inanikaba Tena inanikaba huku inacheka ,mim sio mtu Wa dini sana japo nimelelewa kikristo ,nikaanza kikemea kwa jina la Yesu ndio mm kupata ahueni kushtuka hiv pisi siooni kitandan kumbaka hapo ni ghetto usiku. Afu night Kali ,kwanza nikahisi hii ni ndoto ,kujichek mbna sipo ndotoni ,nilikaa kama dk 20_30 mtu simuon sio yeye ,Wala nguo zake ,hata viatu sioni duuh...nilitetemeka vibaya mno ,,...yule bint Toka siku Ile usiku sjawai muona .nikajaribu kuulizia watu Wa kozi wote wanakataa hamna bint WA namna hiyo ,piga namba zake hapatikani ,lkn nakumbuka tulipiga story za chuo ,kipindi kile boom lilichelewa tukawa tunafarijiana

Toka siku hiyo skuwai lala geto peke yangu mpaka namaliza chuo.

Aliniacha na maswali mengi sana
 
Ulilila jicho jini mahaba?
 
Haya mambo unaweza bisha sana lakini walinzi wanajua binafsi nimeyaona nilipopewa jukumu la kulinda kwa mda hadi mlinzi apatikane ilikua ni kulinda mnara wa simu njombe huko upo karibu na makaburi.

Ikifika saa 6 usiku hadi kama saa 9 ndo unaona watu wanaenda makaburini wapo na moto tena wapo uchi njinsia zote, mara unakuta umeme umekata tu wote wa tanesco na jenereta ila sehemu zingine upo
 
Dah aise hii dunia Kuna viumbe vya ajabu tunaishi navyo mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu nitaileta story ya bwana mmoja nilimkuta anabaka ng'ombe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sister yako alikuwa na nyege tu! (Sorry kama nimekukwaza)
Hakuwa na tatizo la akili wala nini niamini mimi pia ni daktari mstaafu wa magonjwa ya akili.
 
Nilifanikisha lakini hazikudumu baadae nikaenda kaliwa huko nikaambiwa nitafute nywele za chizi na kweli nikakamata chizi nikampeleka salon nikachukua nywele dah pesa hizi Mungu ndio anajua tunayopitia watu wake
Hatari kabisa
 
Kuna magonjwa yanawaattack watu very rarely sasa kutokujua huko(kukosa elimu) kunapelekea watu kudhani ni ushirikina kumbe sio.Miaka minne nyuma nilianza kusikia sauti za ajabu masikioni pia mlio wa kengele yani imagine kengele inalia masikioni mwako wawezo kuhisi umerogwa kumbe ni ugonjwa unaitwa tinnitus sasa magonjwa kama haya ni very rare kuyasikia lakini yapo.
 
Hivi mnashindwaga kurecord video au kupiga picha mtuletee tuone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…