Haya ndiyo maneno mazito ya hotuba ya mwisho ya Gaddafi

HOTUBA YA MWISHO ALIYOIANDIKA QADAFFI

QADAFFI ANAANZA HIVI:
"Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mungu mpaji, na mwenye rehema...
Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki. Nachokumbuka ni kuwa nilifanya kila nilichoweza kuwapa watu wangu nyumba, hospitali na shule.

Na kila walipohisi njaa niliwapa chakula. Niliifanya Benghazi kutoka jangwa kuwa ardhi nzuri ya kilimo. Nilisimama imara dhidi ya Ronald Regan (Rais wa zamani wa Marekani), alipomuua binti yangu niliyemuasili.

Alikua anajaribu kuniua mimi lakini akamuua yule binti yatima masikini. Niliwasaidia kaka na dada zangu waafrika fedha kupitia AU.

Nilifanya kila nililoweza kuwafanya watu wangu waelewe maana halisi ya demokrasia; ambapo watu wa tabaka la chini niliwapa madaraka.

Lakini hawakuridhika. Hata aliyekuwa na nyumba ya vyumba kumi, nguo mpya, na fanicha nzuri, hakuridhika. Alihitaji zaidi.
Kwa jinsi walivyokuwa wabinafsi walihitaji zaidi. Hivyo wakawaambia Marekani kuwa wanataka "demokrasia" na "uhuru". Hawakujua kuwa "demokrasia"

waliyoitaka ilikua ni mfumo wa unyonyaji ambapo mbwa mwenye nguvu zaidi huwala mbwa wadogo. Walikua hawasikii wala hawaoni.

Walitaka "demokrasia". Wakasahau kuwa hata Marekani hakukuwa na huduma za afya za bure, dawa bure, elimu bure na chakula cha bure. (Huduma hizi za bure zilipatikana Libya tu).

Nchini Marekani mtu masikini/fukara hana cha bure. Labda awe ombaomba au avuje jasho kuhemea.

Haikujalisha nilifanya kwa kiasi gani bado hawakuridhika. Lakini wapo waliojua mimi ni mtoto wa Gamal Abdel Nasser, mwarabu pekee halisi na kiongozi wa kiislamu tuliyewahi kuwa nae tangu enzi za Salah-al-Deen.

Wakati Nasser anapigania mfereji wa Suez kwa watu wake nami nilikua naipigania Libya kwa watu wangu. Nilikua najaribu kufuata nyayo zake ili kuwaweka watu wangu huru kutoka kwenye makucha ya wakoloni wanaotuibia.

Lakini kwa sasa niko mateka katikati ya majeshi makubwa ya dunia katika historia. Mwanangu mpendwa mwenye asili ya Afrika, Obama anataka kuniua. Ili achukue uhuru wetu, achukue haki yetu ya huduma za bure za afya, huduma za bure za elimu, na chakula chetu; na kuleta mfumo mpya wa kimarekani wa kuiba uitwao "Ubapeari" Maana yake.

Maana yake ni kuwa "washirika" wanatawala mataifa, wanatawala dunia, na watu wanaishia kuteseka. Kwa hiyo hakuna mbadala kwangu. Lazima niwe na msimamo. Na kama Mungu atapenda nitakufa kwa mapenzi yake

Mapenzi yake yaliyofanya nchi yetu kuwa na ardhi yenye rutuba, chakula bora, na huduma bora za afya. Mapenzi ya Allah yaliyowezesha tukawasaidia kaka na dada zetu waafrika na waarabu waliokuwa na shida. Sipendi kufa; lakini kama nitakufa ili kuiokoa ardhi hii, kuokoa watu wangu, na wengine ambao ni kama wanangu; acha nife.!

Acha sauti hii iwe agano langu kwa dunia kuwa nilisimama kupinga uvamizi wa NATO. Nilisimama kishujaa kupinga usaliti wa nchi za magharibi na nia mbaya za kikoloni. Na hapa nimesimama na ndugu zangu waafrika, kaka na dada zangu waislamu kama ngao yangu ya matumaini.

Watu wa magharibi wameniita "kichaa", "mwendawazimu" lakini wanajua ukweli kuwa mimi si kichaa wala mwendawazimu; ila waache waendelee kudanganya. Wanajua hii ardhi ni huru na haipo kwenye himaya ya kikoloni.

Huu ndio msimamo wangu na dira yangu na imekuwa wazi kwa watu wangu.
Nitapambana hadi pumzi yangu ya mwisho ili watu wangu wawe huru. Mwenyezi Mungu atusaidie tubaki waaminifu na tuwe huru.
-- Mu'uammar Qaddafi.

NB: Hizo ni Nukuu zake sio Mimi.
Sikutapanya rasilimali za nchi yangu kipumbavu. Na kama alivyokua Salah-al-Deen, kiongozi wetu katika uislamu, nilichukua kidogo sana kwa ajili yangu, na sehemu kubwa niliwapa wananchi.
huyuhuyu shetani ndiye aliyetuma msaada wa silaha na wanajeshi kwa IDI AMIN DADAA ili sisi Tanzania tupigwe, yet kuna mndengereko mmoja anavaa msuli anaamini alikuwa mtu mzuri.
 
Kweli kabisa mkuu katika kitu ambacho wametuweza kwasababu juma na swaleh hawampendi wile na charle wakati wanafanana rangi ya ngozi mpaka nywele yaani muislamu anaona ndugu zake ni wa misri na saudia na wakristo wanaona ndugu zao wapo Vatican ni rahisi kusema pray for Palestine or pray for Israel ila sio pray for congo tuna safari ndefu sana dini zimetukamata.
maslahi; mimi ni mkristo na hakika sina mafungamano na upande wowote linapokuja suala la HAKI na MASLAHI mapana ya jamii/taifa.

nakubaliana na walioponda madkikteta na kuwaita kila aina ya majina mabaya lakini bado nawaombea pumziko la milele hawa wawili-licha ya udhaifu wao kama binadamu.
Muamar Qafdafi na Robert Mugabe. angalau mugabe alionesha tamaa mwishoni mwa awamu zake za utawala kwankuonesha kung'ang'ania kiti lakini tangu mwanzo alifanya mazuri kwa watu wake.

chinua achebe alimaliza yote katika jitabu lake la kibabe "Things Fall Apart" kwa kusema, 'a white has put a sword unto a string that hold us together and now we had fallen appart' - 'mzungu kaleta kaweka jambia kwenye uzi uliotushikilia pamoja, sasa tumetawanyika.

*sword-mila za kigeni (ikiwemo lugha, elimu, dini, mavazi, vyakula, siasa/mfumo wa utawala, tiba, malezi, mifumo ya uzazi n.k)

*string/uzi/kamba-mila na desturi zetu za asili ya mwafrika.

hapa hapakustahili kutafuna maneno. tunacheza ngoma tusiyojua mrindimo/melodia yake. kiufupi tunatumba tu kumridhisha dj. lakini ngoma/muziki hauna ladha.

cha kushangaza tulikuwa tunajifunza asili zetu kupitia kujisomea/kuwasimesha watoto wetu mashuleni sasa wameondoa kwa mwavuli ati havikodhi mahitaji ya wakati huu.

tuliopotia vitabu hivi o-level na advance mtaendana nami na utajua lengo la 'ilimsungu' kama alivowataka mwandishi ole kulet lilikuwa limesukwa na kuwekewa awamu za utekelezaji.

-things fall apart
-the river between
-mine boy
-man of the people

waandishi hawakubaki nyuma katika kututahadharisha na madhara ya uvamizi wa wageni katika afrika na athari mbaya za ujio wake

-song of lawino & ocol>okot p' bitek
-this time tomorrow
-weep not, child-utihogoza mwananje
-an enemy of the people
-poems from east africa; soma EAT MORE kisha njoo na maelekezo ya lishe tunayoambiwa kliniki!!!

natamani kulia.
 
[emoji817] %

Yaani huwa nashangaa kuna mtu anashangalia israel hawezi kumkamata hamas ila anafurahia watu more than180k wamekufa.

sasa kuna mtu anakuambia yule kijana aliyeenda israel alikuwa ni jasusi, unabaki unasikitika tu.

Dini ni ugonjwa ambao utachukua miaka mingi kupona hapa afirca.
najibu aya ya mwisho.
kupona sahau kabisa, zaidi mlingoti utazidi kuendelea kujichimbia ndani kabisa hadi kwenye 'core'

hivi mbele ya matamanio ya miujiza ya kuwapatia waamini magari, hela, ufaulu wa mtihani, nyumba nzuri, biashara kubwa na kuzaa watoto.

ukiulizia majumba ya ibada yenye kuhubiri ukweli wa neno na kutenda mema ni ya kutafuta. chambo ni hayo niliyotaja hapo juu.
 
Daaah mkuu inasikitisha sana!
Kwanini lakini africa kama haya mambo yametawala sana? Mbona wenzetu wana reasoning na ku question?

Yaani mwanamke yupo radhi amsikilize mchungaji kuliko mume wake anayemuhudumia.
 
Waliomuondoa Gaddafi ni wananchi wa Libya waliokuwa wakikandamizwa naye kwa kushirikiana na nchi za magharibi.
enhe, umekuja vizuri mtaalamu, eti walimuondoa wakitaka wapatiwe nini baada ya kumuondoa na sasa wanacho au hawana? hili ndilo swali la msingi kwa uzi huu ili tujue jinsi hawa wenzetu wanavyotupenda sana afrika.
 
Demokrasia kwako ni nini?
uingereza kuna demokrasia?
Government of the people by the people for the people.

Uingereza kuna demokrasia Imara sana.
Katika kiwango cha 0-10 Demokrasia ya Uingereza inaweza kupewa alama 8 au 9.
 
enhe, umekuja vizuri mtaalamu, eti walimuondoa wakitaka wapatiwe nini baada ya kumuondoa na sasa wanacho au hawana? hili ndilo swali la msingi kwa uzi huu ili tujue jinsi hawa wenzetu wanavyotupenda sana afrika.
Gaddafi walimuondoa kwa sababu alikuwa anawatesa wapinzani wake na aliimilikisha Libya kwa familia yake. Alikuwa fisadi wa rasilimali za Libya akizutumia apendavyo na kuwakandamiza sana wapinzani na wakosoaji wake.
 
Walioanza harakati za kumuondoa Gaddafi madarakani ni raia wa Libya wenyewe baadaye ndio wakapata msaada kutoka kwa hao wenzetu.
Halafu duniani KILA nchi inajali maslahi yake kwanza masuala ya kupendana ni wewe na mke, mume au mpenzi wako au ndugu, jamaa na familia.
 
Kweli kabisa mkuu katika kitu ambacho wametuweza kwasababu juma na swaleh hawampendi wile na charle wakati wanafanana rangi ya ngozi mpaka nywele yaani muislamu anaona ndugu zake ni wa misri na saudia na wakristo wanaona ndugu zao wapo Vatican ni rahisi kusema pray for Palestine or pray for Israel ila sio pray for congo tuna safari ndefu sana dini zimetukamata.
Mwafrica unaweza kumuuliza swali ili uweze kusikia mawazo yake binafsi lkn utashangaa anaanza kunukuu vifungu vya kwenye vitabu vya dini.

Me huwa najiuliza ina maana huyu kichwa chake kipo empty kabisa hawezi kujenga hoja wala kuwaza nje ya kile kilichopo kwenye vitabu vya dini, Ina maana yeye hana mawazo yake binafsi anategemea mawazo ya mtu mwingine aliyeandika hivyo vitabu

Inahuzunisha sana
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.hata kama Gaddafi alikuwa dikteta?NI kweli nchi za magaribi zilikuwa na upendo sana na walibya kuliko Gaddafi?Libya ya Leo na Libya ya Gaddafi IPI NI Bora?Halafu hiyo AU ilikua wapi kumsaidia jamaa?HV Leo hii kuna nchi au MUUNGANO WA kiafrika inaweza kuivamia nchi pale America au ulaya wakadai wanamuondoa gaidi alafu wakakenuliwa Meno Tu?
Asante mkuu Ubarikiwe kwa Upeo na Macho Yako Yaliyofunguliwa.Mfunze huyo dogo anabishana akiwa haijui hata historia ya afrika. Pathetic
 
Government of the people by the people for the people.

Uingereza kuna demokrasia Imara sana.
Katika kiwango cha 0-10 Demokrasia ya Uingereza inaweza kupewa alama 8 au 9.
Demokrasia ipi wakati,UFALME NDO KILA KITU PALE UINGEREZA?nani anaweza kuhoji ufalme pale?
 
HOTUBA YA MWISHO ALIYOIANDIKA QADAFFI

QADAFFI ANAANZA HIVI:
"Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mungu mpaji, na mwenye rehema...
Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki. Nachokumbuka ni kuwa nilifanya kila nilichoweza kuwapa watu wangu nyumba, hospitali na shule.

Na kila walipohisi njaa niliwapa chakula. Niliifanya Benghazi kutoka jangwa kuwa ardhi nzuri ya kilimo. Nilisimama imara dhidi ya Ronald Regan (Rais wa zamani wa Marekani), alipomuua binti yangu niliyemuasili.

Alikua anajaribu kuniua mimi lakini akamuua yule binti yatima masikini. Niliwasaidia kaka na dada zangu waafrika fedha kupitia AU.

Nilifanya kila nililoweza kuwafanya watu wangu waelewe maana halisi ya demokrasia; ambapo watu wa tabaka la chini niliwapa madaraka.

Lakini hawakuridhika. Hata aliyekuwa na nyumba ya vyumba kumi, nguo mpya, na fanicha nzuri, hakuridhika. Alihitaji zaidi.
Kwa jinsi walivyokuwa wabinafsi walihitaji zaidi. Hivyo wakawaambia Marekani kuwa wanataka "demokrasia" na "uhuru". Hawakujua kuwa "demokrasia"

waliyoitaka ilikua ni mfumo wa unyonyaji ambapo mbwa mwenye nguvu zaidi huwala mbwa wadogo. Walikua hawasikii wala hawaoni.

Walitaka "demokrasia". Wakasahau kuwa hata Marekani hakukuwa na huduma za afya za bure, dawa bure, elimu bure na chakula cha bure. (Huduma hizi za bure zilipatikana Libya tu).

Nchini Marekani mtu masikini/fukara hana cha bure. Labda awe ombaomba au avuje jasho kuhemea.

Haikujalisha nilifanya kwa kiasi gani bado hawakuridhika. Lakini wapo waliojua mimi ni mtoto wa Gamal Abdel Nasser, mwarabu pekee halisi na kiongozi wa kiislamu tuliyewahi kuwa nae tangu enzi za Salah-al-Deen.

Wakati Nasser anapigania mfereji wa Suez kwa watu wake nami nilikua naipigania Libya kwa watu wangu. Nilikua najaribu kufuata nyayo zake ili kuwaweka watu wangu huru kutoka kwenye makucha ya wakoloni wanaotuibia.

Lakini kwa sasa niko mateka katikati ya majeshi makubwa ya dunia katika historia. Mwanangu mpendwa mwenye asili ya Afrika, Obama anataka kuniua. Ili achukue uhuru wetu, achukue haki yetu ya huduma za bure za afya, huduma za bure za elimu, na chakula chetu; na kuleta mfumo mpya wa kimarekani wa kuiba uitwao "Ubapeari" Maana yake.

Maana yake ni kuwa "washirika" wanatawala mataifa, wanatawala dunia, na watu wanaishia kuteseka. Kwa hiyo hakuna mbadala kwangu. Lazima niwe na msimamo. Na kama Mungu atapenda nitakufa kwa mapenzi yake

Mapenzi yake yaliyofanya nchi yetu kuwa na ardhi yenye rutuba, chakula bora, na huduma bora za afya. Mapenzi ya Allah yaliyowezesha tukawasaidia kaka na dada zetu waafrika na waarabu waliokuwa na shida. Sipendi kufa; lakini kama nitakufa ili kuiokoa ardhi hii, kuokoa watu wangu, na wengine ambao ni kama wanangu; acha nife.!

Acha sauti hii iwe agano langu kwa dunia kuwa nilisimama kupinga uvamizi wa NATO. Nilisimama kishujaa kupinga usaliti wa nchi za magharibi na nia mbaya za kikoloni. Na hapa nimesimama na ndugu zangu waafrika, kaka na dada zangu waislamu kama ngao yangu ya matumaini.

Watu wa magharibi wameniita "kichaa", "mwendawazimu" lakini wanajua ukweli kuwa mimi si kichaa wala mwendawazimu; ila waache waendelee kudanganya. Wanajua hii ardhi ni huru na haipo kwenye himaya ya kikoloni.

Huu ndio msimamo wangu na dira yangu na imekuwa wazi kwa watu wangu.
Nitapambana hadi pumzi yangu ya mwisho ili watu wangu wawe huru. Mwenyezi Mungu atusaidie tubaki waaminifu na tuwe huru.
-- Mu'uammar Qaddafi.

NB: Hizo ni Nukuu zake sio Mimi.
Sikutapanya rasilimali za nchi yangu kipumbavu. Na kama alivyokua Salah-al-Deen, kiongozi wetu katika uislamu, nilichukua kidogo sana kwa ajili yangu, na sehemu kubwa niliwapa wananchi.
America ni wakulaaniwa sana!
 
Mwafrica unaweza kumuuliza swali ili uweze kusikia mawazo yake binafsi lkn utashangaa anaanza kunukuu vifungu vya kwenye vitabu vya dini.

Me huwa najiuliza ina maana huyu kichwa chake kipo empty kabisa hawezi kujenga hoja wala kuwaza nje ya kile kilichopo kwenye vitabu vya dini, Ina maana yeye hana mawazo yake binafsi anategemea mawazo ya mtu mwingine aliyeandika hivyo vitabu

Inahuzunisha sana
Waafrika wengi wana uraibu wa dini, hii ni stage ambayo hata wakoloni wetu waliipitia.
 
Rudi kusoma Civics O-level, usichoshe watu humu.
Najua lazma ukimbie.maanq pale uingereza HAKUNA DEMOKRASIA YOYOTE.ufalme hauna demokrasia. Wala huo uhuru unaousema.gaddafi aliwaletea walibya maendeleo makubwa.hawakuwa na sababu ya kumuondoa.sasa hyo demokrasia waliyokuwa wanaitaka leo hakuna cha maana wanachopata
 
QADAFFI ANAANZA HIVI:

"Kwa jina la Mwenyezi Mungu (Allah), Mungu mpaji, na mwenye rehema....

Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki. Nachokumbuka ni kuwa nilifanya kila nilichoweza kuwapa watu wangu nyumba, hospitali na shule. Na kila walipohisi njaa niliwapa chakula. Niliifanya Benghazi kutoka jangwa kuwa ardhi nzuri ya kilimo.

Nilisimama imara dhidi ya Ronald Regan (Rais wa zamani wa Marekani), alipomuua binti yangu niliyemuasili. Alikua anajaribu kuniua mimi lakini akamuua yule binti yatima masikini. Niliwasaidia kaka na dada zangu waafrika fedha kupitia AU.

Nilifanya kila nililoweza kuwafanya watu wangu waelewe maana halisi ya demokrasia; ambapo watu wa tabaka la chini niliwapa madaraka.

Lakini hawakuridhika. Hata aliyekuwa na nyumba ya vyumba kumi, nguo mpya, na fanicha nzuri, hakuridhika. Alihitaji zaidi.

Kwa jinsi walivyokuwa wabinafsi walihitaji zaidi. Hivyo wakawaambia Marekani kuwa wanataka "demokrasia" na "uhuru". Hawakujua kuwa "demokrasia" waliyoitaka ilikua ni mfumo wa unyonyaji ambapo mbwa mwenye nguvu zaidi huwala mbwa wadogo.

Walikua hawasikii wala hawaoni. Walitaka "demokrasia". Wakasahau kuwa hata Marekani hakukuwa na huduma za afya za bure, dawa bure, elimu bure na chakula cha bure. (Huduma hizi za bure zilipatikana Libya tu).

Nchini Marekani mtu masikini/fukara hana cha bure. Labda awe ombaomba au avuje jasho kuhemea.

Haikujalisha nilifanya kwa kiasi gani bado hawakuridhika. Lakini wapo waliojua mimi ni mtoto wa Gamal Abdel Nasser, mwarabu pekee halisi na kiongozi wa kiislamu tuliyewahi kuwa nae tangu enzi za Salah-al-Deen.

Wakati Nasser anapigania mfereji wa Suez kwa watu wake nami nilikua naipigania Libya kwa watu wangu. Nilikua najaribu kufuata nyayo zake ili kuwaweka watu wangu huru kutoka kwenye makucha ya wakoloni wanaotuibia.

Lakini kwa sasa niko mateka katikati ya majeshi makubwa ya dunia katika historia. Mwanangu mpendwa mwenye asili ya Afrika, Obama anataka kuniua.

Ili achukue uhuru wetu, achukue haki yetu ya huduma za bure za afya, huduma za bure za elimu, na chakula chetu; na kutuletea mfumo mpya wa kimarekani wa kuiba uitwao "Ubepari"

Lakini wote katika dunia ya tatu tunajua maana yake. Maana yake ni kuwa "washirika" wanatawala mataifa, wanatawala dunia, na watu wanaishia kuteseka.

Kwa hiyo hakuna mbadala kwangu. Lazima niwe na msimamo. Na kama Mungu atapenda nitakufa kwa mapenzi yake.

Mapenzi yake yaliyofanya nchi yetu kuwa na ardhi yenye rutuba, chakula bora, na huduma bora za afya. Mapenzi ya Allah yaliyowezesha tukawasaidia kaka na dada zetu waafrika na waarabu waliokuwa na shida.

Sipendi kufa; lakini kama nitakufa ili kuiokoa ardhi hii, kuokoa watu wangu, na wengine ambao ni kama wanangu; acha nife.!

Acha sauti hii iwe agano langu kwa dunia kuwa nilisimama kupinga uvamizi wa NATO. Nilisimama kishujaa kupinga usaliti wa nchi za magharibi na nia mbaya za kikoloni. Na hapa nimesimama na ndugu zangu waafrika, kaka na dada zangu waislamu kama ngao yangu ya matumaini.

Wakati wengine walipokuwa wanajenga majumba ya kifahari, mimi niliishi kwenye nyumba ya kawaida na kwenye mahema. Siwezi kusahau maisha yangu ya utoto kule Sirte.

Sikutapanya rasilimali za nchi yangu kipumbavu. Na kama alivyokua Salah-al-Deen, kiongozi wetu katika uislamu, nilichukua kidogo sana kwa ajili yangu, na sehemu kubwa niliwapa wananchi.

Watu wa magharibi wameniita "kichaa", "mwendawazimu" lakini wanajua ukweli kuwa mimi si kichaa wala mwendawazimu; ila waache waendelee kudanganya. Wanajua hii ardhi ni huru na haipo kwenye himaya ya kikoloni. Huu ndio msimamo wangu na dira yangu na imekuwa wazi kwa watu wangu.

Nitapambana hadi pumzi yangu ya mwisho ili watu wangu wawe huru. Mwenyezi Mungu atusaidie tubaki waaminifu na tuwe huru.

MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI Mu'uammar Qaddafi.

Usisahau Kunifollow
 
Kila siku mnabadilisha mwandishi mara Ghaddafi,mara Netanyahu ,mara putin nyie ni wajinga fulani hivi

USSR
 
HOTUBA YA MWISHO ALIYOIANDIKA QADAFFI

QADAFFI ANAANZA HIVI:
"Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mungu mpaji, na mwenye rehema...
Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki. Nachokumbuka ni kuwa nilifanya kila nilichoweza kuwapa watu wangu nyumba, hospitali na shule.

Na kila walipohisi njaa niliwapa chakula. Niliifanya Benghazi kutoka jangwa kuwa ardhi nzuri ya kilimo. Nilisimama imara dhidi ya Ronald Regan (Rais wa zamani wa Marekani), alipomuua binti yangu niliyemuasili.

Alikua anajaribu kuniua mimi lakini akamuua yule binti yatima masikini. Niliwasaidia kaka na dada zangu waafrika fedha kupitia AU.

Nilifanya kila nililoweza kuwafanya watu wangu waelewe maana halisi ya demokrasia; ambapo watu wa tabaka la chini niliwapa madaraka.

Lakini hawakuridhika. Hata aliyekuwa na nyumba ya vyumba kumi, nguo mpya, na fanicha nzuri, hakuridhika. Alihitaji zaidi.
Kwa jinsi walivyokuwa wabinafsi walihitaji zaidi. Hivyo wakawaambia Marekani kuwa wanataka "demokrasia" na "uhuru". Hawakujua kuwa "demokrasia"

waliyoitaka ilikua ni mfumo wa unyonyaji ambapo mbwa mwenye nguvu zaidi huwala mbwa wadogo. Walikua hawasikii wala hawaoni.

Walitaka "demokrasia". Wakasahau kuwa hata Marekani hakukuwa na huduma za afya za bure, dawa bure, elimu bure na chakula cha bure. (Huduma hizi za bure zilipatikana Libya tu).

Nchini Marekani mtu masikini/fukara hana cha bure. Labda awe ombaomba au avuje jasho kuhemea.

Haikujalisha nilifanya kwa kiasi gani bado hawakuridhika. Lakini wapo waliojua mimi ni mtoto wa Gamal Abdel Nasser, mwarabu pekee halisi na kiongozi wa kiislamu tuliyewahi kuwa nae tangu enzi za Salah-al-Deen.

Wakati Nasser anapigania mfereji wa Suez kwa watu wake nami nilikua naipigania Libya kwa watu wangu. Nilikua najaribu kufuata nyayo zake ili kuwaweka watu wangu huru kutoka kwenye makucha ya wakoloni wanaotuibia.

Lakini kwa sasa niko mateka katikati ya majeshi makubwa ya dunia katika historia. Mwanangu mpendwa mwenye asili ya Afrika, Obama anataka kuniua. Ili achukue uhuru wetu, achukue haki yetu ya huduma za bure za afya, huduma za bure za elimu, na chakula chetu; na kuleta mfumo mpya wa kimarekani wa kuiba uitwao "Ubapeari" Maana yake.

Maana yake ni kuwa "washirika" wanatawala mataifa, wanatawala dunia, na watu wanaishia kuteseka. Kwa hiyo hakuna mbadala kwangu. Lazima niwe na msimamo. Na kama Mungu atapenda nitakufa kwa mapenzi yake

Mapenzi yake yaliyofanya nchi yetu kuwa na ardhi yenye rutuba, chakula bora, na huduma bora za afya. Mapenzi ya Allah yaliyowezesha tukawasaidia kaka na dada zetu waafrika na waarabu waliokuwa na shida. Sipendi kufa; lakini kama nitakufa ili kuiokoa ardhi hii, kuokoa watu wangu, na wengine ambao ni kama wanangu; acha nife.!

Acha sauti hii iwe agano langu kwa dunia kuwa nilisimama kupinga uvamizi wa NATO. Nilisimama kishujaa kupinga usaliti wa nchi za magharibi na nia mbaya za kikoloni. Na hapa nimesimama na ndugu zangu waafrika, kaka na dada zangu waislamu kama ngao yangu ya matumaini.

Watu wa magharibi wameniita "kichaa", "mwendawazimu" lakini wanajua ukweli kuwa mimi si kichaa wala mwendawazimu; ila waache waendelee kudanganya. Wanajua hii ardhi ni huru na haipo kwenye himaya ya kikoloni.

Huu ndio msimamo wangu na dira yangu na imekuwa wazi kwa watu wangu.
Nitapambana hadi pumzi yangu ya mwisho ili watu wangu wawe huru. Mwenyezi Mungu atusaidie tubaki waaminifu na tuwe huru.
-- Mu'uammar Qaddafi.

NB: Hizo ni Nukuu zake sio Mimi.
Sikutapanya rasilimali za nchi yangu kipumbavu. Na kama alivyokua Salah-al-Deen, kiongozi wetu katika uislamu, nilichukua kidogo sana kwa ajili yangu, na sehemu kubwa niliwapa wananchi.
Qaddafi aliifanya Libya mali yake binafsi.
 
Back
Top Bottom