Ingawa hatujui kwa undani Sana wa jambo hili, ni vema watoa huduma au maafisa wanatoa huduma kuwa na utamaduni wa kuwasiliana vizuri.Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.
Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.
Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!
View attachment 3678393
Alikuja juu akitiririka na kumbananisha ofisa huyu wa TRA ili kumsaidie best wake, akafungulia turbo kabisa, ila aliposikia aina ya msala kuwa ni forgery inayohusiana na umiliki wa gari inayokamatwa, alipiga bonge la U-turn akamtupa best wake mtaroni ukichukulia alishajua kuwa ana record tukio, so akaangalia usalama wake.Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.
Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.
Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!
View attachment 3678393
Zero brain. Hao ndio watu wanatakiwa bungeni ili kutimiza mambo fulani. Zingatia neno FULANI.Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.
Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.
Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!
View attachment 3678393
Huyo ofisa yuko sahihi. Hawezi kutoa taarifa za mteja kwa third party. Na kamwambia amuulize Ommy mwenyewe atampa taarifa.Ingawa hatujui kwa unsani Sana wa jambo hili, ni vema watoa huduma au maafisa wanatoa huduma kuwa na utamaduni wa kuwasiliana vizuri.
Kama jambo ni la Siri bado unaweza kumweleza Mteja kwa kiufui Tu bila details.
Ommy Dimpoz ni Mwanannchi wa Baba levo
Hivi ingekamatwa na interpol huyo mbunge angekuja kubishana naoHuyo ofisa yuko sahihi. Hawezi kutoa taarifa za mteja kwa third party. Na kamwambia amuulize Ommy mwenyewe atampa taarifa.
Low IQ.Hivi ingekamatwa na interpol huyo mbunge angekuja kubishana nao
Huko mjini sana kuna magari ya moto mengi
Inakujaje huyo mbunge anaingilia majukumu ya maafisa wa TRA
Ova
G Wagon yake nini?aliposikia aina ya msala kuwa ni forgery inayohusiana na umiliki wa gari inayokamatwa, alipiga bonge la U-turn akamtupa best wake mtaroni
Ndo apo sasaHivi ingekamatwa na interpol huyo mbunge angekuja kubishana nao
Huko mjini sana kuna magari ya moto mengi
Inakujaje huyo mbunge anaingilia majukumu ya maafisa wa TRA
Ova
Inasikitisha sanaLow IQ.
Mleta Uzi nipo opposite na wewe .baba Revo yupo sahihi kwa asilimia mia MojaHuyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.
Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.
Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!
View attachment 3678393
Interpol wakijaga watu huwaNdo apo sasa
ππππ ππππNikionaga anachangia mada bungeni huwa naogopa kumsikiliza, najua hili bomu litalipuka any secomd!.