Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Ipo ndani ya taratibu zao, kama wanataka ziwe huru kwa kila mtu warudi bungeni kubadili sheriaUmekamata gari, LA mwananchi, unashindwa, kujibu shida ni nini mbele ya mwakilishi wa, mwananchi, na mwananchi mwenyewe yupo hapo,!! Mbunge yupo sahihi, hii kenge ya TRA ilibidi ipigwe makofi, kumbukeni wale TRA walikamata gari LA mfanyabiashara wakakaa nalo mpaka JPM, alipoingilia Kati,
Miongozo ya kazi inasemaje?TRA ******* sana hata mnaomtetea huyo afisa wa tra wote ******* tu.Wanakamata pasipokufuata miongozo ya kazi.
Mteja hakuwa na shida na ukiangalia video zote mteja anamtuliza mbunge lkn mbunge ndio amechachamaa hataki kuelewaAsante Troll JF kwa maelezo na reference, hata Mimi sijasema atoe Siri lakini anaweza kutoa Tu maelezo ya jumla jumla ya kwanini anazuia Gari, hii ni kupunguza tension ambayo Mteja anakuwa nayo wakati huo.
Mfano; huwezi kusema direct hii gari unadaiwa Kodi mil 2, badala yake uweza kusema tunaisimamisha Gari yako ili kuangalia au kuhakiki kama imekamilisha malipo ya Kodi kama inavyotakiwa. Hivyo Tu basi
Ameulizwa kitambulisho na akaonyesha na avevaa shingoni, police ameulizwa kitambulisho nae akasema hiki hapa ninacho.Vedio inayojadiliwa humu ni kipande tuu ,
Full vedio inaonesha
Afisa alienda kati ya saa kumi na Moja alfajili na wakiwa wamevaa bila uniform.
Na ktk mazungumzo, baba Revo kakosoa hayo mambo mawili
Mjingan ni mjinga ila akifanya jema asiitwe.mjinga
Sahihi kabisa.. shida ni kwamba hapa bongo wamezoea kutuburuza kiasi kwamba wameshaamin kuwa huo ndo uwajibikajiMambo hayako hivyo, Baba levo Yuko n Ommy hapo hapo.
Kuna tatizo l a communication kwa Watumishi wengi has Sisi waafrika.
Mfano angesema:
Gari hii tunaikamt kwa sababu tuna operesheni maalum ya kukagua magari
Tunaangalia kama imetimiza vigezo vyote vy usajiri na Kodi
Tunaangalia na kuthibitisha usajiri wake kama ulizingatia Sheria
Tunchunguza madeni
Hizi zote ni sababu za kumjibu mtu na akakuelewa na then wewe ofisa unaendelea na mambo yako huku Mhusika ameshatulia na kurelax