Haya ndiyo ya kufanya kama una uso wenye mafuta

Haya ndiyo ya kufanya kama una uso wenye mafuta

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,821
how-to-prevent-oily-skin.png

Natumai wote ni bukheri wa afya mimi pia nipo okay kuna mdau kwenye post moja kauliza atumie nini,ana uso wenye Mafuta mengi oily face mimi pia nina tatizo kama Hilo.

Lakini now sio tatizo tena najua kuhudumia ngozi yangu daily iwe healthy au mnataka na kapicha ka ushaidi mimi ni mmoja ya wanaume ambao walikua wanaamini kupaka mafuta ni mambo ya kike but miaka mitatu ya nyuma nikaona too much mda wote uso una mafuta,kujifuta kila dakika nikafanya research now kama wewe una tatizo kama langu tumia njia hizi.

1: Mafuta ya Nazi.
mafuta ya nazi ndio mchawi,unaweza ukashangaa why mafuta ya nazi unahisi kama utazidisha tatizo hapana mafuta ya nazi yanakinga ngozi na bacteria,mwanga wa jua pia yapo thick ukipaka uso mda wote unakua dry..extra virgin coconut oil ndio mazuri zaidi ni yale yasiyochanganywa na kitu chochote..

2:Usijishike shike uso
mafuta mengi yanatoka sababu nyingine ni kua na ngozi iliyokufa,ukiwa una shika shika uso,unapeleka uchafu ,bacteria usoni, kama unahisi mafuta yamezidibusijishike tumia cleanser paper tena jifute utosini,kwenye pua ,na kidevunibplease usijishike uso u want stay dry and nice do as i say.

3: Nawa uso mara mbili kwa siku hili swala niliambiwa na daktari wa ngozi,kua kama utanawa mara kwa mara ukidhani unaondoa mafuta,ndio unazidisha coz mwili Wako asili yake mafuta,mda wote ukiyatoa,yanarudi kwa Kasi..

4:drink alot of water and fanya mazoezi..

ili temperature kwenye mwili iwe balanced na kuondoa uchafu,dying skin watu watakushangaa.


MATOKEO: Nina miaka miwili nafanya hivyo,ukiniona uso kama msanii mwenye mafanikio haha kidding uso kama mtoto so soft,sina kipele cha joto,uso hauna tena mafuta wewe mwenyewe ukikutana na mimi utashangaa like daaamn man your skin inspired cocoa butter.

NOTE: Afya ya ngozi ni jambo bora kama unavyolinda mambo mengine my excuses me wanaume wa Dar na hili jukwaa la urembo & Utanashati.
 
Kwahiyo hata wenye ngozi za mafuta wanapaka hayo mafuta ya Nazi?, Maana hujatoa utaratibu yanapakwaje,Usije ukasababisha majanga maana umesema kwa ujumla bila kudadavua mtu mwenye ngozi aina gani ana tumia kwa kiwango gani
 
Kwahiyo hata wenye ngozi za mafuta wanapaka hayo mafuta ya Nazi?, Maana hujatoa utaratibu yanapakwaje,Usije ukasababisha majanga maana umesema kwa ujumla bila kudadavua mtu mwenye ngozi aina gani ana tumia kwa kiwango gani
Swali zuri .. hiyo kwaajili wenye ngozi ya mafuta, paka Mara mbili kwa siku.. ukioga asubuhi, na kabla ya kulala usiku
 
Somo linanihusu direct, sema sijaelewa ni mafuta ya nazi ya mtindo upi maana kuna mafuta ya nazi chungu nzima siku hizi.... tafadhali waweza eleza type ya mafuta ili kuniweka sawa mkuu.
 
Somo linanihusu direct, sema sijaelewa ni mafuta ya nazi ya mtindo upi maana kuna mafuta ya nazi chungu nzima siku hizi.... tafadhali waweza eleza type ya mafuta ili kuniweka sawa mkuu.
Nimesema Extra Virgin coconut oil ndugu .. ni yale ambayo hayajachangwanywa na chochote .. supermarket yapo buku 5, but Mimi naonaga kama ya ujanja tu .. nanuaga uswahilini .. ukiwa na chupa buku,kama huna chupa, buku jero .. kama Una muda, hata WW unaweza ukachemsha utuuzie.. KARIBU
 
ndiyo nna ngoz ya mafuta..sina swali
okay hakikisha unajifuta vizuri hadi ukauke ndio u apply mafuta.. and siku moja moja hata kwa week nawa uso na maji ya moto... ukianza nambie... naeza kukuzawadia kitu
 
Sijaelewa vizuri kama.

Sasa hayo mafuta ya nazi ndio yanakuwa ya kujipaka moja kwa moja au inakuwa kama dawa baada ya matokeo kuwa mazuri naendelea na lotion yangu?
 
Sijaelewa vizuri kama.

Sasa hayo mafuta ya nazi ndio yanakuwa ya kujipaka au ni kama dawa baada ya matokeo kuwa mazuri naendelea na lotion yangu?
haha hayo mkuu hakuna kuacha coz mwili Wako ndo umebarikiwa mafuta,unayo hadi unakufa..ila mwili ukizoea mafuta ya Nazi Una ji control mwenyewe..lotion gani unatumia
 
haha hayo mkuu hakuna kuacha coz mwili Wako ndo umebarikiwa mafuta,unayo hadi unakufa..ila mwili ukizoea mafuta ya Nazi Una ji control mwenyewe..lotion gani unatumia

Mmh. Hayazidishi kweli sababu yalivyo mepesi.

Mie natumia Enchanteur body lotion
 
Mmh. Hayazidishi kweli sababu yalivyo mepesi.

Mie natumia Enchanteur Perfumed body lotion
Unaweza kudhani hivyo, ningeweza kueleza kwa kirefu Sana but lugha yake ya kidaktari watu wasingeelewa chemical za coconut oil,kwanni inasaidia.. nikipata muda weekend nitaeelezea kwa kirefu..
 
Back
Top Bottom