Haya ndiyo ya kufanya kama una uso wenye mafuta

Haya ndiyo ya kufanya kama una uso wenye mafuta

unaweza kudhani hivyo,ningeweza kueleza kwa kirefu Sana but lugha yake ya kidaktari watu wasingeelewa chemical za coconut oil,kwanni inasaidia..nikipata muda weekend nitaeelezea kwa kirefu..
Itabidi nianze ila napata shaka kama mimi kila nikitaka kwenda Ofisini lazima nitupie na kapoda kidogo sasa hilo futa la nazi litaweza himili poda yangu au ndio nayo inabidi niache?
 
Itabidi nianze ila napata shaka kama mimi nikitaka kwenda Ofisini lazima nitupie na kapoda kidogo sasa hilo futa la nazi litaweza himili poda yangu au ndio nayo inabidi niache?
poda sumu nawe, au hutaki kua na ngozi kama yangu? hah shauri yako.. urembo sio gharama, muulize jokate anapaka nini.. au flaviana matata.. by the way sijui skin tone yako.. mimi mweusi
 
  • Thanks
Reactions: TGB
poda sumu nawe,au hutaki kua na ngozi kama yangu??hah shauri yako..urembo sio gharama,muulize jokate anapaka nini..au flaviana matata..by the way sijui skin tone yako..mimi mweusi
Hahahaaaaa. Duuh sidhani kama hawapaki kitu wale bana.

Mie rangi yangu ni hiyo hapo kwenye Avatar.
 
Hahahaaaaa. Duuh sidhani kama hawapaki kitu wale bana.

Mie rangi yangu ni hiyo hapo kwenye Avatar.
haha kama ndio hivyo sawa.. hongera kama unavaa hijab, miwani ile sunglasses.. ngoja nikomee hapa, washaanza kuniita mwanaume WA Dar
 
haha kama ndo hivyo sawa..hongera kama unavaa hijab,miwani ile sunglasses..ngoja nikomee hapa,washaanza kuniita mwanaume WA Dar
Hahahaaa. Ahsante sana Mkuu.

Kujali afya ya ngozi sidhani kama ni jambo baya Mkuu.
 
Hahahaaa. Ahsante sana Mkuu.

Kujali afya ya ngozi sidhani kama ni jambo baya Mkuu.
jambo zuri,Leo watakuona unajisumbua bure,hah lakini wao wataanza kuzeeka visura vimejikunjaaaaa,sisi ndo kwanza babfaces..kama natania but faida kubwa ya kutunza ngozi,huzeeki mapema..mwalimu wangu WA secondary,bibi WA miaka 60,but mzuri kuliko mabinti WA 19,and younger than them..
 
Hahaaa. Kwa hili watakuelewa wale wachache wanaopenda ngozi zao ila kina sie mmh.

Sawa Mkuu sio mbaya inapendeza sana.
 
Back
Top Bottom