Haya ndiyo ya kufanya kama una uso wenye mafuta

Haya ndiyo ya kufanya kama una uso wenye mafuta

Nimesema Extra Virgin coconut oil ndugu .. ni yale ambayo hayajachangwanywa na chochote .. supermarket yapo buku 5, but Mimi naonaga kama ya ujanja tu .. nanuaga uswahilini .. ukiwa na chupa buku,kama huna chupa, buku jero .. kama Una muda, hata WW unaweza ukachemsha utuuzie.. KARIBU
Je Kwa Uso wenye ngozi kavu wapake nini? Asante sana.
 
Je Kwa Uso wenye ngozi kavu wapake nini? Asante sana.
Mkuu kabla ya kukwambia Cha kufanya kwanza tujue muonekano wa ngozi yako,kama ni

Light.
Fair.
Medium.
Deep (Dark)

Na kama wewe mbantu kama Mimi,kwenye huu weusi napo tone(shades) zime tofautiana Kuna,

caramel,
almond,
hazelnut,
toffee,
java,
espresso
ebony
deep ebony

Kila aina ya ngozi(tone) Ina treatment yake..
 
Mi yangu ni tone gani hapo?
 
Back
Top Bottom