Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Teh!umeniwah[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh!umeniwah[emoji23]
Asante .Asante
okay mkuu.karibuAsante sana kwa somo zuri.
okay nikitoka job ntakuja kukuelezeaasante somo nimelipenda, ila naomba ufafanuzi hapa kwenye poda mana mm ni muhanga sana wa ngozi ya mafuta.. vipi nikianza hiyo dozi then nikiwa napaka poda inaniletea madhara gani?
am back..tell me powder gani unatumiaasante somo nimelipenda, ila naomba ufafanuzi hapa kwenye poda mana mm ni muhanga sana wa ngozi ya mafuta.. vipi nikianza hiyo dozi then nikiwa napaka poda inaniletea madhara gani?
Haha swali langu nashindwa kuliweka vizuri..i mean hiyo powder Ni Loose powder au pressed powder??maana Kila aina ina kazi yake,and kila skin tone ina powder yakeHuwa nachanganya mkuu sina poda maalum
unaweza kuendelea nayo but Hilo nalo somo lingine,,kupaka vitu vingi usoni and ngozi iwe bado salama Ni process..i wish niwasaidie I don't know how..coz sijui ngozi zenu..and Kila mtu anakuja na swali lake,naogopa Ku recommend vipodozi coz kinaweza kukusaidia wewe,mwingine kisimfae..kwa hiyo forest mafuta yangu yale ninayopaka kilasiku niyaache?
extra virgin coconut oil ndio mazuri zaidi ni yale yasiyochanganywa na kitu chochote..
Ni kweli na mie na USO wa mafuta, Nazi imenisaidia sana na wipesView attachment 722088
Natumai wote ni bukheri wa afya mimi pia nipo okay kuna mdau kwenye post moja kauliza atumie nini,ana uso wenye Mafuta mengi oily face mimi pia nina tatizo kama Hilo.
Lakini now sio tatizo tena najua kuhudumia ngozi yangu daily iwe healthy au mnataka na kapicha ka ushaidi mimi ni mmoja ya wanaume ambao walikua wanaamini kupaka mafuta ni mambo ya kike but miaka mitatu ya nyuma nikaona too much mda wote uso una mafuta,kujifuta kila dakika nikafanya research now kama wewe una tatizo kama langu tumia njia hizi.
1: Mafuta ya Nazi.
mafuta ya nazi ndio mchawi,unaweza ukashangaa why mafuta ya nazi unahisi kama utazidisha tatizo hapana mafuta ya nazi yanakinga ngozi na bacteria,mwanga wa jua pia yapo thick ukipaka uso mda wote unakua dry..extra virgin coconut oil ndio mazuri zaidi ni yale yasiyochanganywa na kitu chochote..
2:Usijishike shike uso
mafuta mengi yanatoka sababu nyingine ni kua na ngozi iliyokufa,ukiwa una shika shika uso,unapeleka uchafu ,bacteria usoni, kama unahisi mafuta yamezidibusijishike tumia cleanser paper tena jifute utosini,kwenye pua ,na kidevunibplease usijishike uso u want stay dry and nice do as i say.
3: Nawa uso mara mbili kwa siku hili swala niliambiwa na daktari wa ngozi,kua kama utanawa mara kwa mara ukidhani unaondoa mafuta,ndio unazidisha coz mwili Wako asili yake mafuta,mda wote ukiyatoa,yanarudi kwa Kasi..
4:drink alot of water and fanya mazoezi..
ili temperature kwenye mwili iwe balanced na kuondoa uchafu,dying skin watu watakushangaa.
MATOKEO: Nina miaka miwili nafanya hivyo,ukiniona uso kama msanii mwenye mafanikio haha kidding uso kama mtoto so soft,sina kipele cha joto,uso hauna tena mafuta wewe mwenyewe ukikutana na mimi utashangaa like daaamn man your skin inspired cocoa butter.
NOTE:Afya ya ngozi ni jambo bora kama unavyolinda mambo mengine my excuses me wanaume wa Dar na hili jukwaa la urembo&Utanashati.
Huyu ni KeHaters watasema wewe mwanaume wa Dar 😀
Binafsi nashukuru kwa somo
hah haya weka kaushaidi hata WA picha ..moja tuuu please..Ni kweli na mie na USO wa mafuta, Nazi imenisaidia sana na wipes
ooh please.me dume aseeHuyu ni Ke