Haya ndiyo ya kufanya kama una uso wenye mafuta

Nimekupata mkuu, mafuta kibao usoni joto kidogo tu ni shidah
 
asante somo nimelipenda, ila naomba ufafanuzi hapa kwenye poda mana mm ni muhanga sana wa ngozi ya mafuta.. vipi nikianza hiyo dozi then nikiwa napaka poda inaniletea madhara gani?
 
asante somo nimelipenda, ila naomba ufafanuzi hapa kwenye poda mana mm ni muhanga sana wa ngozi ya mafuta.. vipi nikianza hiyo dozi then nikiwa napaka poda inaniletea madhara gani?
okay nikitoka job ntakuja kukuelezea
 
asante somo nimelipenda, ila naomba ufafanuzi hapa kwenye poda mana mm ni muhanga sana wa ngozi ya mafuta.. vipi nikianza hiyo dozi then nikiwa napaka poda inaniletea madhara gani?
am back..tell me powder gani unatumia
 
Huwa nachanganya mkuu sina poda maalum
Haha swali langu nashindwa kuliweka vizuri..i mean hiyo powder Ni Loose powder au pressed powder??maana Kila aina ina kazi yake,and kila skin tone ina powder yake
 
kwa hiyo forest mafuta yangu yale ninayopaka kilasiku niyaache?
 
kwa hiyo forest mafuta yangu yale ninayopaka kilasiku niyaache?
unaweza kuendelea nayo but Hilo nalo somo lingine,,kupaka vitu vingi usoni and ngozi iwe bado salama Ni process..i wish niwasaidie I don't know how..coz sijui ngozi zenu..and Kila mtu anakuja na swali lake,naogopa Ku recommend vipodozi coz kinaweza kukusaidia wewe,mwingine kisimfae..
 
Ni kweli na mie na USO wa mafuta, Nazi imenisaidia sana na wipes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…