Haya ndiyo ya kufanya kama una uso wenye mafuta

Mzee kumbe we ni dume?dah haya bwana,yaan unaenda had kwa doctor,..nmekubali,..au labuda mi mushamba ngosha,..hahah,

Mi hata mafuta sipakag daah,mi nkioga na sabun fulesh imetoka hyo,sasa nianze tembea na wipes mkuu si watanambia mi mchele mchele au niwe na vichupa vya wese la nazi ndan hata dem wangu atanimaindi

Anyway huu uzi haunifai
 
haha kweli mzee
 
Kumbe, duh!
 
Haha swali langu nashindwa kuliweka vizuri..i mean hiyo powder Ni Loose powder au pressed powder??maana Kila aina ina kazi yake,and kila skin tone ina powder yake
Mara nyingi napenda za watt tu kama bby Johnson Nk, au angel face
 
Somo linanihusu direct, sema sijaelewa ni mafuta ya nazi ya mtindo upi maana kuna mafuta ya nazi chungu nzima siku hizi.... tafadhali waweza eleza type ya mafuta ili kuniweka sawa mkuu.
Em jaribu kutengeneza mwenyewe nyumbani. Kama hujui angalia tutorials za you tube jinsi ya kutengeneza mafuta ya nazi. Ni rahisi sana
Kuna/saga nazi zako km tatu hivi
Chuja vizuri
Acha ilale kwa fridge usiku wote
Asubuhi mafuta yatakuwa yamejitenga juu na maji chini
Engua mafuta hayo na chemsha kwa moto mdogo
Acha yapoe, chuja...tayari kwa kutumia
 
Natumia Dove lotion vipi niachane nayo maana mafuta usoni kwangu ishakuwa jadi
 
Mimi Nina ngozi ya mafuta lakini sipatani kabisaa na mafuta ya Nazi ..huwa napaka Jonson's baby lotion ile ya chupa na USO wangu upo vizuri tu..
 
🤣🤣🤣🤣
 
Hii inajitaji maelezo marefu zaidi ili tuelewe,mafuta ya Nazi yana kiasi kikubwa cha mafuta ndani yake,ukipaka kwenye ngozi ya mafuta ndio unaongeza zaidi,inakuwaje hayo ndio yaondoe tatizo la mafuta na chunusi?au wewe ngozi yako ni mchanganyiko yaani sio ya mafuta kwa %100?
 
Mimi Nina ngozi ya mafuta lakini sipatani kabisaa na mafuta ya Nazi ..huwa napaka Jonson's baby lotion ile ya chupa na USO wangu upo vizuri tu..
Hii ya mafuta ya Nazi kwenye ngozi ya mafuta naona kama tatizo litazidi,Hio Johnson baby lotion ina ingredients gani,haina mafuta ndani yake?
 
Kumbe yule model anaewadizainia wasafi nguo yupo humu?
 
Unaweza kudhani hivyo, ningeweza kueleza kwa kirefu Sana but lugha yake ya kidaktari watu wasingeelewa chemical za coconut oil,kwanni inasaidia.. nikipata muda weekend nitaeelezea kwa kirefu..
Naomba somo liendelee
Lkn Nina swqli moja

Mtu mwenye ngozi yoyote iwe kavu, au ya mafuta au mchanganyiko wote wanatumia hayo mafuta kwa usawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…