Haya ndiyo yatakayotokea kabla ya New World Order. Vipi umejiandaaje?

Khalid Sankara

New Member
Joined
Nov 3, 2021
Posts
4
Reaction score
21
Haya ni baadhi ya mambo ambayo Wachambuzi wanaamini yatatokea kabla ya NEW WORLD ORDER.

1. Ubadilishwaji wa katiba nyingi Duniani kuendana na mfumo mpya wa utawala Duniani.

2. Upandaji wa bei za bidhaa muhimu

3. Mabadiliko katika sarafu( mfumo wa manunuzi Duniani kote)

4. Uwepo wa Dini mmoja ambayo makao makuu yake yatakuwa Mashariki Ya Kati.

5. Binadamu wote kulazimika kupata chapa ili waweze kupata huduma yoyote.

6. Anguko la utawala wa Marekani

7. Afrika kugawanywa kwa Mara nyengine tena katika spheres of influence ( Sehemu kubwa ya Afrika hili jambo limeshafanikiwa mbaka sasa ni nchi chache tu ambazo zinagombaniwa mbaka sasa)

8. Ukandamizaji wa Uhuru wa kujieleza na haki za binadamu Duniani kote.

9. Utengenezwaji wa majanga fake I.e. Njaa, ukame n.k.

10. Vita

11. Mfumuko wa bei usiohimilika

12. Uzinduzi wa kipato cha kujikimu Duniani kote.

13. Uibukaji wa kundi jipya la matajiri wa nje ya mfumo.

14. Dunia kupitia katika kipindi kigumu kuwahi kutokea katika historia ya Mwanadamu

15. Uzinduzi wa taratibu na teknolojia mpya kufatilia mienendo ya Mwanadamu.

16. Binadamu wengi kupoteza nafsi zao.
 
No.16 una maana gani mkuu?
 
No.16 una maana gani mkuu?
Nadhani amemaanisha kuuza nafsi kwa shetani kwa lengo la kupata mali! Wengine wameuza nafsi zao kupitia u'freemason', wengine kupitia waganga wa kienyeji! Unakuta mtu ni tajiri lakini hafurahii maisha yake ya kitajiri maana utajiri wake umegubikwa na rundo la masharti! Usile hiki, usivae hivi, fanya hivi, usifanye hivi, toa kafara yule nk. Ni mawazo yangu! Hili litaongezeka baada ya ugumu wa maisha kuongezeka!
 
WEWE UMEYAJUAJE HAYA? AU NDO HABARI ZILE ZA VIJIWENI???

AU NDO ZILE HABARI ZA MAAMUMA KUDANGANYANA KWENYE MIHADHARA😂😂😂
Shukuru kupata taarifa hizi nenda kajipange usisubiri mpaka yakupate! Duniani kuna mambo mengi ya ajabu!
 
No 16 lilianza timia toka mwaka 2000.
Kuanzia kizazi cha mwaka 2000 kipo kwenye matengenezo kuelekea uharibifu baada ya nafsi zao kuchukuliwa. Ipo tofauti Sana Kati ya kizazi cha mwaka 2000 kuja juu na kurudi nyuma.
 
Shukuru kupata taarifa hizi nenda kajipange usisubiri mpaka yakupate! Duniani kuna mambo mengi ya ajabu!
upuuuuuzi... endelea kupiga lamli, endeleeni kuaminishwa na viongozi wenu kuhusu freemason kuwa watoa roho, mapepo na kila jina baya...

naomba kuishia hapo...
 
WEWE UMEYAJUAJE HAYA? AU NDO HABARI ZILE ZA VIJIWENI???

AU NDO ZILE HABARI ZA MAAMUMA KUDANGANYANA KWENYE MIHADHARA😂😂😂
Usipokuwa na elimu kuhusu dini au ulimwengu usioonekana ni lzm uwe gizani hapa
 
Haya ni baadhi ya mambo ambayo Wachambuzi wanaamini yatatokea kabla ya NEW WORLD ORDER.

1. Ubadilishwaji wa katiba nyingi Duniani kuendana na mfumo mpya wa utawala Duniani.

2. Upandaji wa bei za bidhaa muhimu

3. Mabadiliko katika sarafu( mfumo wa manunuzi Duniani kote)

4. Uwepo wa Dini mmoja ambayo makao makuu yake yatakuwa Mashariki Ya Kati.

5. Binadamu wote kulazimika kupata chapa ili waweze kupata huduma yoyote.

6. Anguko la utawala wa Marekani

7. Afrika kugawanywa kwa Mara nyengine tena katika spheres of influence ( Sehemu kubwa ya Afrika hili jambo limeshafanikiwa mbaka sasa ni nchi chache tu ambazo zinagombaniwa mbaka sasa)

8. Ukandamizaji wa Uhuru wa kujieleza na haki za binadamu Duniani kote.

9. Utengenezwaji wa majanga fake I.e. Njaa, ukame n.k.

10. Vita

11. Mfumuko wa bei usiohimilika

12. Uzinduzi wa kipato cha kujikimu Duniani kote.

13. Uibukaji wa kundi jipya la matajiri wa nje ya mfumo.

14. Dunia kupitia katika kipindi kigumu kuwahi kutokea katika historia ya Mwanadamu

15. Uzinduzi wa taratibu na teknolojia mpya kufatilia mienendo ya Mwanadamu.

16. Binadamu wengi kupoteza nafsi zao.
Wengi hawatakuelewa hapa ila Hayo yatatokea baada ya baadhi ya watu kutoweka ghafla duniani.

Then itafuata miaka 7 ya shida ambayo haijapata tokea ktk historia ya binadamu duniani

Na wameshaanza jana imezinduliwa statue/sanamu of digital currency Washington D.C kuashiria dunia sasa inakwenda kuhamia kwenye digital currency
 
upuuuuuzi... endelea kupiga lamli, endeleeni kuaminishwa na viongozi wenu kuhusu freemason kuwa watoa roho, mapepo na kila jina baya...

naomba kuishia hapo...
Tunaamini hivyo sababu ya mambo yenu kuyafanya siri, chochote cha siri hakina heri.
 
Wengi hawatakuelewa hapa ila Hayo yatatokea baada ya baadhi ya watu kutoweka ghafla duniani.
Watafiti wa elimu ya mambo yasiyoonekana wanasema Yesu amebakiza dakika 5 tu arudi mara ya pili kuchukua watu wake.Baada ya hapo neema itafungwa watakaobaki watakuwa chini ya utawala wa chuma wa Shetani hadi atakaporudi mara ya tatu kuihukumu dunia ya shetani na watu wake milele
 
Habari za vijiweni hzo.... Na ndoto za alinacha
Haya ni baadhi ya mambo ambayo Wachambuzi wanaamini yatatokea kabla ya NEW WORLD ORDER.

1. Ubadilishwaji wa katiba nyingi Duniani kuendana na mfumo mpya wa utawala Duniani.

2. Upandaji wa bei za bidhaa muhimu

3. Mabadiliko katika sarafu( mfumo wa manunuzi Duniani kote)

4. Uwepo wa Dini mmoja ambayo makao makuu yake yatakuwa Mashariki Ya Kati.

5. Binadamu wote kulazimika kupata chapa ili waweze kupata huduma yoyote.

6. Anguko la utawala wa Marekani

7. Afrika kugawanywa kwa Mara nyengine tena katika spheres of influence ( Sehemu kubwa ya Afrika hili jambo limeshafanikiwa mbaka sasa ni nchi chache tu ambazo zinagombaniwa mbaka sasa)

8. Ukandamizaji wa Uhuru wa kujieleza na haki za binadamu Duniani kote.

9. Utengenezwaji wa majanga fake I.e. Njaa, ukame n.k.

10. Vita

11. Mfumuko wa bei usiohimilika

12. Uzinduzi wa kipato cha kujikimu Duniani kote.

13. Uibukaji wa kundi jipya la matajiri wa nje ya mfumo.

14. Dunia kupitia katika kipindi kigumu kuwahi kutokea katika historia ya Mwanadamu

15. Uzinduzi wa taratibu na teknolojia mpya kufatilia mienendo ya Mwanadamu.

16. Binadamu wengi kupoteza nafsi zao.
 
Hawa watu ni wajinga sana.. Wanaaminishwa free manson wanaua watu....ni uvivu wao wa kufikiri tu
upuuuuuzi... endelea kupiga lamli, endeleeni kuaminishwa na viongozi wenu kuhusu freemason kuwa watoa roho, mapepo na kila jina baya...

naomba kuishia hapo...
 
tendo la ndoa halina kheri...
Ndoa ni tendo halali so lazima liwe heri.
Freemason ni white magic yaani ni katika makundi ya wachawi waabudu shetani wao utoa kafara za damu za watu thus ukiwa member ukitaka kuacha ni lzm wakuue, Kanumba,sharo milionea, michael jackson,dmx,tupac,left eye, whitney houston,kobe bryant, Aaliyah kwa uchache hawa. Kwann wakuue kama ni kitu kizuri.
 
Hawa watu ni wajinga sana.. Wanaaminishwa free manson wanaua watu....ni uvivu wao wa kufikiri tu
Huwezi badili ukweli ambao dunia nzima inaujua na hakuna mahali freemason wamewahi kana tuhuma hizi
 
Huwez kanusha kwa vitu vya kijinga... Ni sawa leo tuanze kukuita wewe chizi unaokotauchafu barbarani... Then wewe uite press conference ya kukanusha taarifa hzo..

In short kama zingekuwa tuhuma hzo ni halali zingenyimwa vibali vya kuendesha matukio yao kwenye nchi husika..

All inferior mind.. Ndio wanapotosha hayo mambo.. Kile ni kikundi tu kama vikundi vingine

Back
Top Bottom