Kuna vitu vinaonekanaga kama upuuzi hivi lakini vina maana kubwa mno! Wahenga walisemaga "HAKUNA UPUUZI ULIO UPUUZI MTUPU"! Lazima kuna kitu unaweza kupata/kujifunza kupitia hicho unachodhani ni upuuzi!upuuuuuzi... endelea kupiga lamli, endeleeni kuaminishwa na viongozi wenu kuhusu freemason kuwa watoa roho, mapepo na kila jina baya...
naomba kuishia hapo...
Mshana anatufundisha hata picha inabeba mengi yaliyojificha yasiyoonekana kwa macho yetu ya nyama! Wanaojua mambo ya kiroho wamebarikiwa kuona mengi tusio wa kiroho hatuoni!