Haya ndiyo yatakayotokea kabla ya New World Order. Vipi umejiandaaje?

Haya ndiyo yatakayotokea kabla ya New World Order. Vipi umejiandaaje?

Sasa free manson wote wajiunge pamoja.. Wamuue tu.. Kama wanakutana na huyo shetani..[emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi ya ajent ni kuleta watu kwa shetani.wanaletwa vipi kupitia tiba,mavazi,miziki,utajiri,ibada,michezo,nk.
Lete maswali yako yote
 
upuuuuuzi... endelea kupiga lamli, endeleeni kuaminishwa na viongozi wenu kuhusu freemason kuwa watoa roho, mapepo na kila jina baya...

naomba kuishia hapo...
MwanaCCM peke mwenye kutumia akili yake vizuri.

Umenena vyema mkuu. Haya mastori ya nwo ni ya kufikirika sana.
Kupanda bei ya vitu baada ya muda haishangazi hata.
 
Ebu acha ujinga.... Tafuta pesa uone kama hizi story utazickia... Watu wanao amini hivi ni watu ambao wamekata tamaa ya maisha na wenye elimu ndogo..

Achana na hizi habar zishapitwa na wakati..
Kazi ya ajent ni kuleta watu kwa shetani.wanaletwa vipi kupitia tiba,mavazi,miziki,utajiri,ibada,michezo,nk.
Lete maswali yako yote
 
Ebu acha ujinga.... Tafuta pesa uone kama hizi story utazickia... Watu wanao amini hivi ni watu ambao wamekata tamaa ya maisha na wenye elimu ndogo..

Achana na hizi habar zishapitwa na wakati..
Elimu ni pana ndugu elimu haina mipaka.Pesa tunazo zipo kwenye madini zimejaa tele.
 
Ndoa ni tendo halali so lazima liwe heri.
Freemason ni white magic yaani ni katika makundi ya wachawi waabudu shetani wao utoa kafara za damu za watu thus ukiwa member ukitaka kuacha ni lzm wakuue, Kanumba,sharo milionea, michael jackson,dmx,tupac,left eye, whitney houston,kobe bryant, Aaliyah kwa uchache hawa. Kwann wakuue kama ni kitu kizuri.
una safari ndefu sana...
 
Kuna vitu vinaonekanaga kama upuuzi hivi lakini vina maana kubwa mno! Wahenga walisemaga "HAKUNA UPUUZI ULIO UPUUZI MTUPU"! Lazima kuna kitu unaweza kupata/kujifunza kupitia hicho unachodhani ni upuuzi!

Mshana anatufundisha hata picha inabeba mengi yaliyojificha yasiyoonekana kwa macho yetu ya nyama! Wanaojua mambo ya kiroho wamebarikiwa kuona mengi tusio wa kiroho hatuoni!
mambo ya kipuuzi kama?
 
Nadhani amemaanisha kuuza nafsi kwa shetani kwa lengo la kupata mali! Wengine wameuza nafsi zao kupitia u'freemason', wengine kupitia waganga wa kienyeji! Unakuta mtu ni tajiri lakini hafurahii maisha yake ya kitajiri maana utajiri wake umegubikwa na rundo la masharti! Usile hiki, usivae hivi, fanya hivi, usifanye hivi, toa kafara yule nk. Ni mawazo yangu! Hili litaongezeka baada ya ugumu wa maisha kuongezeka!
Unajua maana ya nafsi kweli? Unauzaje nafsi kwanza?
 
Mbona waganga wa kienyeji wanavyo vibali unayajua wanayofanya Ili kuuongeza nguvu za kudumisha uganga.Mganga yeyeto ni lazima auwe watu Ili kumtolea sadaka shetani afurahi Ili ampe nguvu zaidi.
Uchawi umegawanyika katika makundi matatu
,Blacks magic,white magic na Red magic.
Freemason, mitume na manabii feki, madikteta,watenda miujiza,Wana mazingaombwe nk hawa wapo kwenye kundi la white magic.Makundi yote haya matatu boss wao ni mmoja Lucifer.Na huwezi kuwa luciferous bila kutoa damu.Damu upatikana kwa kuua mtu watu.
hata yesu alitolewa kafala, hapo vipi? ibra alitaka mtoa mwanaekafara ikaja kondoo... naona kuna kuna uganga ktk dini zetu
 
hata yesu alitolewa kafala, hapo vipi? ibra alitaka mtoa mwanaekafara ikaja kondoo... naona kuna kuna uganga ktk dini zetu
Unalinganisha kafara ya Yesu na hizi za kipepo kweli?? Fikiri mara mbili!
 
mambo ya kipuuzi kama?
Mambo yote unayoyajua wewe! Yote kabisa chini ya jua unayodhani ni upuuzi! Mfano mambo ya Imani! Wapo watu kutokana na kukosa ajira pamoja na kuwa wamesoma wanaona kusoma sasa ni upuuzi kabisa! Kwao ni upuuzi lakini ukifuatilia kwa makini hakuna upuuzi hapo!
 
Hizo ni ruling....

Unaaminishwa ili wanapotekeleza usishangae
 
Shukuru kupata taarifa hizi nenda kajipange usisubiri mpaka yakupate! Duniani kuna mambo mengi ya ajabu!
Issue ya NWO asilimia kubwa ya vijana wa kizazi kipya hawawezi kuielewa, maana wamezaliwa na kukuta dunia ikiwa nzuri na inaendelea kuwa nzuri ya kuvutia.

Mbali na kuhoji kwa maswali ya kebehi huwa awapendi kufukunyua haya mambo, siri nyingi zipo ndani ya vitabu ila wanaosoma wakileta kwa social media wanaleta dharau za kitoto.
 
Back
Top Bottom