Haya ndiyo yatakayotokea kabla ya New World Order. Vipi umejiandaaje?

upuuuuuzi... endelea kupiga lamli, endeleeni kuaminishwa na viongozi wenu kuhusu freemason kuwa watoa roho, mapepo na kila jina baya...

naomba kuishia hapo...
Kuna vitu vinaonekanaga kama upuuzi hivi lakini vina maana kubwa mno! Wahenga walisemaga "HAKUNA UPUUZI ULIO UPUUZI MTUPU"! Lazima kuna kitu unaweza kupata/kujifunza kupitia hicho unachodhani ni upuuzi!

Mshana anatufundisha hata picha inabeba mengi yaliyojificha yasiyoonekana kwa macho yetu ya nyama! Wanaojua mambo ya kiroho wamebarikiwa kuona mengi tusio wa kiroho hatuoni!
 
Mbona waganga wa kienyeji wanavyo vibali unayajua wanayofanya Ili kuuongeza nguvu za kudumisha uganga.Mganga yeyeto ni lazima auwe watu Ili kumtolea sadaka shetani afurahi Ili ampe nguvu zaidi.
Uchawi umegawanyika katika makundi matatu
,Blacks magic,white magic na Red magic.
Freemason, mitume na manabii feki, madikteta,watenda miujiza,Wana mazingaombwe nk hawa wapo kwenye kundi la white magic.Makundi yote haya matatu boss wao ni mmoja Lucifer.Na huwezi kuwa luciferous bila kutoa damu.Damu upatikana kwa kuua mtu watu.
 
Corana, vita vya Ukraine, kupanda kwa bei ya mafuta, baa la njaa , kuna darksiders wapo nyuma ya hili unadhani Dunia inajiendea tu.
Haya yote kuna jambo linaandaliwa kupitishwa duniani na hawa wajenzi huru. Lakini still wanakimbiza upepo bado awawezi shindana na Mungu, ni SAwa tu na dikteta kupambana na watu at the end ni lazima dikteta ashindwe, maana huwezi ukapambana na watu ukawashinda never.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...... Eti lucifer ndio kiongozi wao...

Enewei... Tuambie sasa kama unamjua mganga hata mmoja anae ua... Na kapewa kibali na serikali... Au hata anajulikana kwa jumuia ya uganga wa jadi
 
Ku

Kuua ni siri
 
Wazungu wanawadanganya sana
 
Sasa Kama mambo yenyewe ndiyo hayo unajiandaaje!? Maana hadi kukamilika kwa hiyo nadharia karibu sote tutakaojadili hoja yako ninahakika hatutakuwepo duniani. Sasa hayo maandalizi unayotaka tuyafanye niya'aina gani!? Labda kuchonga Jeneza na kuandaa eneo la kuzikiwa!!
 
Yani unataka tujiandae na huu ulimwengu wa kizushi mkuu?
 
Attachments

  • IMG_2530.jpg
    16.9 KB · Views: 10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...... Eti lucifer ndio kiongozi wao...

Enewei... Tuambie sasa kama unamjua mganga hata mmoja anae ua... Na kapewa kibali na serikali... Au hata anajulikana kwa jumuia ya uganga wa jadi
Wote wanaua sio kwa maana hio ya kijinai.
Zipo njia nyingi utumia Mfano kupandikiza magonjwa ambayo upelekea kifo,kusababisha ajali Ili kutoa kafara,kumtuma Jini akaue,nk kwa uchache.
Vifo hivi upimwa kiroho na si kimwili, serikali inashughulika kimwili na dini ni kiroho, vipimo vya kiserikali haviwezi pima roho, vipo vipimo vya kiroho ndivyo vina ushahidi ya kwamba huyu kauliwa kichawi.
Hii ni elimu kubwa Sana kwako ndugu huwezi yaelewa haya labda tu kama una elimu ya dini, au elimu ya mambo ya ulimwengu usioonekana.
 
Kwa hyo free mansoon ndio kazi yao hyo..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hyo free mansoon ndio kazi yao hyo..[emoji23][emoji23][emoji23]
Freemason ni agents wa lucifer kusimamia shughuli zote za kisiasa kiuchumi na kijamii duniani Ili ulimwengu wote uwe chni ya shetani.
 
Kwa hyo shetani hawezi kufanya hvyo.. Mpka aue watu ??
Freemason ni agents wa lucifer kusimamia shughuli zote za kisiasa kiuchumi na kijamii duniani Ili ulimwengu wote uwe chni ya shetani.
 
bila Shaka anamaanisha watu wengi watauawa, nahisi ni mcha Mungu huyu na anachotaka nikutushawishi tufanye maandalizi ya huko tuendako na si tutokako.
Tengeneza njia yako kabla.
Ugonjwa wowote unaweza tengenezwa kuzimu ukaletwa duniani ndani ya miezi 6 ukapukutisha robo ya walimwengu. Rejea ugonjwa wa corona nani walioinjia na kwa ajenda ipo.
 
Kwa hyo shetani hawezi kufanya hvyo.. Mpka aue watu ??
Yes Kazi kuu ya shetani ni kuharibu ulimwengu wote umuabudu yeye.Shetani hana urafiki kabisa na mwanadamu,atakupa pesa huku ukimaliza ndugu zako na wakiisha tu lazima akuue kisha atachukua mali zake atampa mwingine hivyo hivyo.
Mali za freemason hazirithiki upukutika labda tu kama mmiliki wake alikuunganisha na kuzimu ikutambue na upewe code number ya kutambulika kwamba we pia ni member wao.
 
Sasa free manson wote wajiunge pamoja.. Wamuue tu.. Kama wanakutana na huyo shetani..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…