Kazi ya ajent ni kuleta watu kwa shetani.wanaletwa vipi kupitia tiba,mavazi,miziki,utajiri,ibada,michezo,nk.Sasa free manson wote wajiunge pamoja.. Wamuue tu.. Kama wanakutana na huyo shetani..[emoji23][emoji23][emoji23]
MwanaCCM peke mwenye kutumia akili yake vizuri.upuuuuuzi... endelea kupiga lamli, endeleeni kuaminishwa na viongozi wenu kuhusu freemason kuwa watoa roho, mapepo na kila jina baya...
naomba kuishia hapo...
Kazi ya ajent ni kuleta watu kwa shetani.wanaletwa vipi kupitia tiba,mavazi,miziki,utajiri,ibada,michezo,nk.
Lete maswali yako yote
Elimu ni pana ndugu elimu haina mipaka.Pesa tunazo zipo kwenye madini zimejaa tele.Ebu acha ujinga.... Tafuta pesa uone kama hizi story utazickia... Watu wanao amini hivi ni watu ambao wamekata tamaa ya maisha na wenye elimu ndogo..
Achana na hizi habar zishapitwa na wakati..
una safari ndefu sana...Ndoa ni tendo halali so lazima liwe heri.
Freemason ni white magic yaani ni katika makundi ya wachawi waabudu shetani wao utoa kafara za damu za watu thus ukiwa member ukitaka kuacha ni lzm wakuue, Kanumba,sharo milionea, michael jackson,dmx,tupac,left eye, whitney houston,kobe bryant, Aaliyah kwa uchache hawa. Kwann wakuue kama ni kitu kizuri.
freemason ni nani?Huwezi badili ukweli ambao dunia nzima inaujua na hakuna mahali freemason wamewahi kana tuhuma hizi
mambo ya kipuuzi kama?Kuna vitu vinaonekanaga kama upuuzi hivi lakini vina maana kubwa mno! Wahenga walisemaga "HAKUNA UPUUZI ULIO UPUUZI MTUPU"! Lazima kuna kitu unaweza kupata/kujifunza kupitia hicho unachodhani ni upuuzi!
Mshana anatufundisha hata picha inabeba mengi yaliyojificha yasiyoonekana kwa macho yetu ya nyama! Wanaojua mambo ya kiroho wamebarikiwa kuona mengi tusio wa kiroho hatuoni!
Unajua maana ya nafsi kweli? Unauzaje nafsi kwanza?Nadhani amemaanisha kuuza nafsi kwa shetani kwa lengo la kupata mali! Wengine wameuza nafsi zao kupitia u'freemason', wengine kupitia waganga wa kienyeji! Unakuta mtu ni tajiri lakini hafurahii maisha yake ya kitajiri maana utajiri wake umegubikwa na rundo la masharti! Usile hiki, usivae hivi, fanya hivi, usifanye hivi, toa kafara yule nk. Ni mawazo yangu! Hili litaongezeka baada ya ugumu wa maisha kuongezeka!
hata yesu alitolewa kafala, hapo vipi? ibra alitaka mtoa mwanaekafara ikaja kondoo... naona kuna kuna uganga ktk dini zetuMbona waganga wa kienyeji wanavyo vibali unayajua wanayofanya Ili kuuongeza nguvu za kudumisha uganga.Mganga yeyeto ni lazima auwe watu Ili kumtolea sadaka shetani afurahi Ili ampe nguvu zaidi.
Uchawi umegawanyika katika makundi matatu
,Blacks magic,white magic na Red magic.
Freemason, mitume na manabii feki, madikteta,watenda miujiza,Wana mazingaombwe nk hawa wapo kwenye kundi la white magic.Makundi yote haya matatu boss wao ni mmoja Lucifer.Na huwezi kuwa luciferous bila kutoa damu.Damu upatikana kwa kuua mtu watu.
alisha rejea muda mrefu soma kitabu chako vyemaYesu Yu karibu sana kurudi, tujiandae
Unalinganisha kafara ya Yesu na hizi za kipepo kweli?? Fikiri mara mbili!hata yesu alitolewa kafala, hapo vipi? ibra alitaka mtoa mwanaekafara ikaja kondoo... naona kuna kuna uganga ktk dini zetu
Mambo yote unayoyajua wewe! Yote kabisa chini ya jua unayodhani ni upuuzi! Mfano mambo ya Imani! Wapo watu kutokana na kukosa ajira pamoja na kuwa wamesoma wanaona kusoma sasa ni upuuzi kabisa! Kwao ni upuuzi lakini ukifuatilia kwa makini hakuna upuuzi hapo!mambo ya kipuuzi kama?
Mmeanza kusema hivyo lini?mwisho wa dunia ni mwisho wa mtu..yani kifo chake ndio mwisho wake.Yesu Yu karibu sana kurudi, tujiandae
Issue ya NWO asilimia kubwa ya vijana wa kizazi kipya hawawezi kuielewa, maana wamezaliwa na kukuta dunia ikiwa nzuri na inaendelea kuwa nzuri ya kuvutia.Shukuru kupata taarifa hizi nenda kajipange usisubiri mpaka yakupate! Duniani kuna mambo mengi ya ajabu!
We jamaa acha kuongea uto.Sasa free manson wote wajiunge pamoja.. Wamuue tu.. Kama wanakutana na huyo shetani..[emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa acha kuongea uto.