Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

O
Ndo maana nasemaga Chibu ni ana akili shenzi yule insta yote imechafuka ni Mond tu na pencil mpaka picha zishatengenezwa [emoji3][emoji3] huyu jamaa haji kukauka midomoni mwa wabongo na hapo ndo anapowawin wengine.
Hii ndio comment bora kabisa kwenye huu Uzi watu wanapiga kelele tu lakini uili ndio lengo
 
Zitaje hizo Show..
 
Naona team mond mmetoa mapovu humu mpaka panateleza.

Anyway pensel ndio habari ya mjini.
 
Ukiwa na team za vichaa lazima uugue depressants,

Nasubilia mm mziki mzuri niskilize tu kutoka kwa msanii yoyote ata kama ni harmorapa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] Upo kama mimi kabisa
 
Kwani Kiba anawasaidia nini clouds?
 
Hayo ya kuroga au kuibiana nyota umesema wewe, kwa nini Kiba huwa hana muda wa kumzungumzia Mondi lakini mondi anapenda kumzungumzia kiaba? Kama alitoa mkono ukakataliwa why asiendelee na namaisha yake? Kwa nini Kiba na sio Barnaba, Ben pol, kina Timbulo Ommya dimpoz, why anataka kufanya tamasha na Kiba? Sasa Kiba kasema amkome, na amkome kweli kama ana nyota na a shine kivyake amuache Kiba kasema KOMA.
 
Diamond Ni boss mzuri Sana, unajua unapotafuta pesa personal issue unaweka pembeni una focus kwenye core subject. Diamond anaweza piga show bila wao na akafanikiwa lakini ameona Ni vyema akawashirikisha jamaa zake, lakini Kama hawataki sio lazima.
Hajui kutumia fursa huyo. Bifu bila kuingiza hela haina maana. Simlaumu lakini labda fedha alizonazo zinamtosha.
 
ukipata watasema, ukikosa watasema, pia ukionesha ubinadam utaonekana mbaya hivo nivema kushika njia yako mwenyewe
 
Hakuna kitu kama Kiba kupotea, Kiba anaimba music wake kwa jinsi yake kama Mondi anavyo imba muziki wake kwa jinsi yake, Kiba hakuja kuchuana na Mondi anafanya music kwa kuwa ni fani yake, kuhusu mziki kuchuja kama kweli ni mpenzi wa muziki hakuna muziki unaochuja haraka kama wa Mondi unatoka una hit sana lakini unapotea haraka sana, na hii ndio style ya muziki wa wasanii wengi sasa, hakuna muziki unao ishi, hakuna ni heat na kutoweka.
 
Himani za kushirikiana tu. Wote NI waswahili mbumbu walio pata pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…