gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
O
Hii ndio comment bora kabisa kwenye huu Uzi watu wanapiga kelele tu lakini uili ndio lengoNdo maana nasemaga Chibu ni ana akili shenzi yule insta yote imechafuka ni Mond tu na pencil mpaka picha zishatengenezwa [emoji3][emoji3] huyu jamaa haji kukauka midomoni mwa wabongo na hapo ndo anapowawin wengine.