Haya ni baadhi ya mambo mengine yaliyomo kwenye kitabu cha Erick Kabendera

Inamaanisha JPM alikuwa anamla Saa100?
 
Upepo wa kabendera,unahitaji tuufute tujadili maendeleo na uchaguzi mkuu 2025.
 
Nyongeza*
SIku ambayo Uncle Benja alimwagia Chai bwana JIWE pale Hyatt Regency akiwa na walinzi wake alipomwita kwa ajili ya Mazungumzo Lengo la Mazungumzo yao ilikua ni kukengeuka kwa Misimamo ya Bwana JIWE dhidi ya Viongozi Wastaafu kuwasema vibaya wakina Malecela ,Warioba ,Msuya na kuwaita mabogus hali iliyomkasirisha vibaya sana Uncle Benja wa Lupaso akamwagia chai kwenye Koti kwa dharau ikumbukwe Uncle Benja alikua Mentor wa JIWE walilokataa waashi Japo lilikua JIWE Kuu la Pembeni. Baada ya hayo kutokea mwandishi anasema JIWE aliondoka na Crew yake Lokesheni huku Uncle Benja akifoka vibaya bila kufanywa chochote na Walinzi na Crew iliyokuwa Hyatt Regency ya Bwana Jiwe
 
Najua ukitunga kitabu kinaharitiwa na kuona maudhui yake.

Je, hiki kitabu kimefanyiwa uhakiki?

Mie umbeya wangu ni hapo kwa kifo cha mwanae.
 
Hahaha, hizo ni habari za udaku, umbeyaumbeya. Naona anachanganya udaku na tuhuma nzito zisizo na ushahidi.

Mkapa anaweza kufanya huu utoto?

Halafu anapita mulemule anawataja marehemu sababu hawawezi kumjibu awataje pia walio hai.
 
Usisahau Pia awamu ya Mama yako imekuwa wachuuzi wakubwa wa Rasilimali za Watanzania Timu Pwanii kama Nakuona
 
Kweli huu mwaka mpya, hadi mwishoni wa mwaka 2024 habari zilizokuwa zina trend zilikuwa kuhusu Lissu na Mbowe ila sasa mwaka umepindua mambo sasa upepo umerudi kwa Magufuli, huwezi kuamini tunamzungumzia Magufuli sasa hivi na matukio yake yaliyopita kiasi tumesahau hadi matukio yanayoendelea.

Nilichojifunza hapa ni kwamba kwa kipindi chote cha miaka 3 ya kumzungumzia Magufuli na maovu yake ni kwamba watawala waliyopo sasa hakuna walichojifunza bado matukio yanaendelea kufanyika kama ya kutekana na kuuwana.
 
Hata hivyo issue ya makamu ni uongo mtupu!
Kuna warembo na vitoto vitamu huko CCM,angeviacha atafute bibi wa 60+
Story za kufikirika, kuuza vitabu, kumchafua mtu asiyempenda, kumpa tuhuma kubwa, nzito kwa chuki kubwa aliyonayo dhidi ya JPM, bila shaka atakuwa amelipwa pesa nyingi na waliomtuma.

Alikuwa Rais anaweza kupata karibu mwanamke yoyote Tanzania, warembo wamejaa kila mahali Nilisikia uzushi kuhusu mahusiano na Jokate, Angela sidhani kama zina ukweli ila kidogo unaweza kusema ni plausible eti atake kumbaka Samia.

Hii pekee kwa watu wenye akili timamu wangekitupa hiki kitabu jalalani au kudai ushahidi usio na shaka.
 
Kwamba mama yake(magufuli) alivoambiwa mwanao ameteuliwa kuwa mgombea urais kupitia sisiemu akacheka sana akawaambia atawaumiza sana hamumjui vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…