Haya ni baadhi ya mambo mengine yaliyomo kwenye kitabu cha Erick Kabendera

Haya ni baadhi ya mambo mengine yaliyomo kwenye kitabu cha Erick Kabendera

Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa!

Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo;

👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu.

👉🏽 Central polisi shimoni, Wanawake na wanaume wana share lockup, mambo ya ajabu kabisa haya.

👉🏽 Alihojiwa kuhusu kifo cha mtoto wa Magufuli, ambacho kisababisha mgongano ndani ya ndoa ya Magufuli, TISS walikuwa wanataka hiyo issue isijulikane

👉🏽 Ernest Sungura (wa Media Council of Tanzania, kwa sasa) alihusika kwenye kikao na Dr Bashiru kumuhoji Kabendera, wakamwambia yuko Salama baadaye yakamkuta ya kumkuta, walikuwa wanajua nini kinaendelea.

Hayo ni machache juu ya mambo mazito aliyoyaandika Kabendera kwenye kitabu chake..
Inamaanisha JPM alikuwa anamla Saa100?
 
Upepo wa kabendera,unahitaji tuufute tujadili maendeleo na uchaguzi mkuu 2025.
 
Nyongeza*
SIku ambayo Uncle Benja alimwagia Chai bwana JIWE pale Hyatt Regency akiwa na walinzi wake alipomwita kwa ajili ya Mazungumzo Lengo la Mazungumzo yao ilikua ni kukengeuka kwa Misimamo ya Bwana JIWE dhidi ya Viongozi Wastaafu kuwasema vibaya wakina Malecela ,Warioba ,Msuya na kuwaita mabogus hali iliyomkasirisha vibaya sana Uncle Benja wa Lupaso akamwagia chai kwenye Koti kwa dharau ikumbukwe Uncle Benja alikua Mentor wa JIWE walilokataa waashi Japo lilikua JIWE Kuu la Pembeni. Baada ya hayo kutokea mwandishi anasema JIWE aliondoka na Crew yake Lokesheni huku Uncle Benja akifoka vibaya bila kufanywa chochote na Walinzi na Crew iliyokuwa Hyatt Regency ya Bwana Jiwe
 
Najua ukitunga kitabu kinaharitiwa na kuona maudhui yake.

Je, hiki kitabu kimefanyiwa uhakiki?

Mie umbeya wangu ni hapo kwa kifo cha mwanae.
 
Nyongeza*
SIku ambayo Uncle Benja alimwagia Chai bwana JIWE pale Hyatt Regency akiwa na walinzi wake alipomwita kwa ajili ya Mazungumzo Lengo la Mazungumzo yao ilikua ni kukengeuka kwa Misimamo ya Bwana JIWE dhidi ya Viongozi Wastaafu kuwasema vibaya wakina Malecela ,Warioba ,Msuya na kuwaita mabogus hali iliyomkasirisha vibaya sana Uncle Benja wa Lupaso akamwagia chai kwenye Koti kwa dharau ikumbukwe Uncle Benja alikua Mentor wa JIWE walilokataa waashi Japo lilikua JIWE Kuu la Pembeni. Baada ya hayo kutokea mwandishi anasema JIWE aliondoka na Crew yake Lokesheni huku Uncle Benja akifoka vibaya bila kufanywa chochote na Walinzi na Crew iliyokuwa Hyatt Regency ya Bwana Jiwe
Hahaha, hizo ni habari za udaku, umbeyaumbeya. Naona anachanganya udaku na tuhuma nzito zisizo na ushahidi.

Mkapa anaweza kufanya huu utoto?

Halafu anapita mulemule anawataja marehemu sababu hawawezi kumjibu awataje pia walio hai.
 
Nchi Iko vizuri kuliko wakati wote.Sema una mawazo mgando,umemezwa na usukuma na mfumo dume.Leo mimi mtumishi nalipya stahili zangu kwa wakati kitu ambacho kwa magu sikulipwa,hapa nilipo kituo cha afya kimeanza kufanya kazi tangu mwaka jana.Kabla tulitibiwa katika hospital ya mission ambapo ukiumwa malaria ukalazwa kwa siku moja tu gharama zaidi ya laki na nusu.Saizi unatibiwa kwa elfu kumi tu.Hiki kituo kimejengwa katika awamu ya huyu huyu unayemsema nchi imemshinda!Tena vimejengwa vituo vya afya zaidi ya 200 nchi nzima katika awamu ya huyu unayedai nchi imemshinda.Huyo unayedai aliiweza nchi alifanya nini kikubwa zaidi hadi ubeze vitu vikubwa kuliko vya awamu zote vinavyoonekana katika awamu hii?Huyo magu alikuwa anatawala wapi hadi mimi nisione mazuri yake aliyoyafanya kumzidi huyu mama!!Magu alikuwa motivation speaker katika maendeleo,na watu wakapenda maneno kuliko vitendo.Ila tukiondoa chuki za kike;awamu zilizofanya maendeleo ya vitendo zaidi ni mbili tu,ya kikwete na hii ya mama.Lkn kwa kuwamotivate watanzania wajione wako vizuri kwakweli magu anaongoza.
Usisahau Pia awamu ya Mama yako imekuwa wachuuzi wakubwa wa Rasilimali za Watanzania Timu Pwanii kama Nakuona
 
Kweli huu mwaka mpya, hadi mwishoni wa mwaka 2024 habari zilizokuwa zina trend zilikuwa kuhusu Lissu na Mbowe ila sasa mwaka umepindua mambo sasa upepo umerudi kwa Magufuli, huwezi kuamini tunamzungumzia Magufuli sasa hivi na matukio yake yaliyopita kiasi tumesahau hadi matukio yanayoendelea.

Nilichojifunza hapa ni kwamba kwa kipindi chote cha miaka 3 ya kumzungumzia Magufuli na maovu yake ni kwamba watawala waliyopo sasa hakuna walichojifunza bado matukio yanaendelea kufanyika kama ya kutekana na kuuwana.
 
Hata hivyo issue ya makamu ni uongo mtupu!
Kuna warembo na vitoto vitamu huko CCM,angeviacha atafute bibi wa 60+
Story za kufikirika, kuuza vitabu, kumchafua mtu asiyempenda, kumpa tuhuma kubwa, nzito kwa chuki kubwa aliyonayo dhidi ya JPM, bila shaka atakuwa amelipwa pesa nyingi na waliomtuma.

Alikuwa Rais anaweza kupata karibu mwanamke yoyote Tanzania, warembo wamejaa kila mahali Nilisikia uzushi kuhusu mahusiano na Jokate, Angela sidhani kama zina ukweli ila kidogo unaweza kusema ni plausible eti atake kumbaka Samia.

Hii pekee kwa watu wenye akili timamu wangekitupa hiki kitabu jalalani au kudai ushahidi usio na shaka.
 
Kwamba mama yake(magufuli) alivoambiwa mwanao ameteuliwa kuwa mgombea urais kupitia sisiemu akacheka sana akawaambia atawaumiza sana hamumjui vizuri.
 
Back
Top Bottom