Haya ni baadhi ya mambo mengine yaliyomo kwenye kitabu cha Erick Kabendera

Haya ni baadhi ya mambo mengine yaliyomo kwenye kitabu cha Erick Kabendera

Kwa hiyo anataka kusema kwamba hayati JPM alitaka kumbaka SSH? Is this journalist really serious with his stupidity textbook sponsored by the haters?

Nahisi huyu Kabendera hayuko sawa kiakili!!!!

Kwa hiyo anataka kutuambia rais SSH ndiye kamtuma amwandike vibaya JPM?
"....Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu...."

Huyu mwandishi ni kumshitaki mpaka akome na ukoo wake wote.
Mbona umekatisha story hii, alivyoingia kwenye nyumba ya RM,RM alimgomea, kwa bwana yule ilikuwa fedheha kweli, akatuma kikosi kazi kimpige toxic, mama wa watu akaenda kuponea KUBA,Si kila mwanamke ni wa kumchezea, kuna walio thabiti na wenye misimamo!, mwanamke imara na jasiri.
 
Fimbo ya mussa ilikuwa inatembea vibaya sana!!!
Unayakumbuka ya Daud na Betsheba wa Uria ??? amabaye alikuwa uwanja wa vita kwenye biblia?? Naye aliyafanya kwa WITE mmoja ambaye mwenza alikuwa uwanja wa VITA wa kaainchi ambalo kalipigana na Marekani lakini kadogo sana, na nchi kubwa ambayo sasa sasa wabongo wengi huenda kununua vitu nguo,saa [emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji3]....... Mwamba alikuwa nouma
Si alizaa nae huyu demu akampa uwaziri, jamaa uwakilishi huko nje.

Ilisemekana lakini.
 
N
Kwa hiyo unataka kutuambiaje? Hizi tuhuma nzito sana, ila ile ya Jokate kale kajamaa kakafukuzwa kazi mkutanoni kisa kumfuata fuata jokate- hahaha

Jiwe alikuwa na wivu wa balaaa.
Noma sana mwamba!! Mpaka U......me. Teacher naye ilikuwa MBUNYYE ya Mwamba....🙏🙏🙏
 
Nilijua mradi wa kumchafua mwamba JPM kupitia serikali hii umekwisha, naona ndo kwanza unakolezwa.

Mambo aliyoyafanya mwamba yanajieleza yenyewe, wadanganyika tunawekwa busy kujadili issue ya Magu huku rasilimali zetu za nchi zikiporwa, ucahguzi wa serikali za mitaa umechezewa, bandari zetu zimegawiwa kwa wageni, wamaasai wa Roliondo wanafurushwa kwenye makazi yao, deni la taifa linapaa kila uchwao, miradi mikubwa ya kimkakati imesimama, watu wanatekwa mchana kweupe na kwenda kuuawa wengine wakiponea chupuchupu na wengine hawajulikani walioko mpaka leo kina Soka na yule kijana wa Mbeya aliyechoma picha yenye sura ya Samia.

Kama taifa adui yetu siyo mtu aliyelala usingizi wa mauti, kama alifanya ubaya wakati wake watajuana na Mungu wake huko aliko nadhani ni wakati wa kuwaambia watawala ukweli tusiwe kept busy na vitu vya kipumbavu ambavyo havina maslahi kwa ustawi wa taifa. Usalama wa taifa kuweni macho na maslahi mapana ya taifa acheni kutetea na kulinda kikundi kidogo cha watu huku taifa likibaki mifupa mitupu, nyinyi ndo mmeapa kulinda maslahi ya taifa hili achananeni na mambo ya vyama vya siasa. Taifa linawategemea sana sema hamjui tu au kama mnajua mmeamua kujizima data.
🔨
 
Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa!

Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo;

👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu.

👉🏽 Central polisi shimoni, Wanawake na wanaume wana share lockup, mambo ya ajabu kabisa haya.

👉🏽 Alihojiwa kuhusu kifo cha mtoto wa Magufuli, ambacho kisababisha mgongano ndani ya ndoa ya Magufuli, TISS walikuwa wanataka hiyo issue isijulikane

👉🏽 Ernest Sungura (wa Media Council of Tanzania, kwa sasa) alihusika kwenye kikao na Dr Bashiru kumuhoji Kabendera, wakamwambia yuko Salama baadaye yakamkuta ya kumkuta, walikuwa wanajua nini kinaendelea.

Hayo ni machache juu ya mambo mazito aliyoyaandika Kabendera kwenye kitabu chake..

Hii ni kampeni ya October 2025. Tutasikia mengi Sana ili Samia aonekane ana unafuu, mwema, muadilifu. JPM anatumiwa kama ngazi na awamu hii ya sita.

Huyu makamu na genge lake waliokuwa wanavujisha siri za kila aina kwa kigogo, mange wangekaa kimya miaka mitatu wakijua haya?

Mmejaribu kila kitu. Malizieni kwamba alibaka wanawake, watoto, wazee na wapinzani wake ikulu.
 
Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa!

Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo;

👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu.
Mama alipaswa kuelewa hili lilikuwa suala la chama kushika patamu, sorry chama kushika hatamu!
 
Nchi Iko vizuri kuliko wakati wote.Sema una mawazo mgando,umemezwa na usukuma na mfumo dume.Leo mimi mtumishi nalipya stahili zangu kwa wakati kitu ambacho kwa magu sikulipwa,hapa nilipo kituo cha afya kimeanza kufanya kazi tangu mwaka jana.Kabla tulitibiwa katika hospital ya mission ambapo ukiumwa malaria ukalazwa kwa siku moja tu gharama zaidi ya laki na nusu.Saizi unatibiwa kwa elfu kumi tu.Hiki kituo kimejengwa katika awamu ya huyu huyu unayemsema nchi imemshinda!Tena vimejengwa vituo vya afya zaidi ya 200 nchi nzima katika awamu ya huyu unayedai nchi imemshinda.Huyo unayedai aliiweza nchi alifanya nini kikubwa zaidi hadi ubeze vitu vikubwa kuliko vya awamu zote vinavyoonekana katika awamu hii?Huyo magu alikuwa anatawala wapi hadi mimi nisione mazuri yake aliyoyafanya kumzidi huyu mama!!Magu alikuwa motivation speaker katika maendeleo,na watu wakapenda maneno kuliko vitendo.Ila tukiondoa chuki za kike;awamu zilizofanya maendeleo ya vitendo zaidi ni mbili tu,ya kikwete na hii ya mama.Lkn kwa kuwamotivate watanzania wajione wako vizuri kwakweli magu anaongoza.
😁😅😅😅😄
 
Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa!

Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo;

👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu.

👉🏽 Central polisi shimoni, Wanawake na wanaume wana share lockup, mambo ya ajabu kabisa haya.

👉🏽 Alihojiwa kuhusu kifo cha mtoto wa Magufuli, ambacho kisababisha mgongano ndani ya ndoa ya Magufuli, TISS walikuwa wanataka hiyo issue isijulikane

👉🏽 Ernest Sungura (wa Media Council of Tanzania, kwa sasa) alihusika kwenye kikao na Dr Bashiru kumuhoji Kabendera, wakamwambia yuko Salama baadaye yakamkuta ya kumkuta, walikuwa wanajua nini kinaendelea.

Hayo ni machache juu ya mambo mazito aliyoyaandika Kabendera kwenye kitabu chake..
Kwani makamu wake alikuwa haishi na mume? hivi kwa mfano sasa ni Raisi hakai na mume wake ikulu?
 
Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa!

Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo;

👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu.

👉🏽 Central polisi shimoni, Wanawake na wanaume wana share lockup, mambo ya ajabu kabisa haya.

👉🏽 Alihojiwa kuhusu kifo cha mtoto wa Magufuli, ambacho kisababisha mgongano ndani ya ndoa ya Magufuli, TISS walikuwa wanataka hiyo issue isijulikane

👉🏽 Ernest Sungura (wa Media Council of Tanzania, kwa sasa) alihusika kwenye kikao na Dr Bashiru kumuhoji Kabendera, wakamwambia yuko Salama baadaye yakamkuta ya kumkuta, walikuwa wanajua nini kinaendelea.

Hayo ni machache juu ya mambo mazito aliyoyaandika Kabendera kwenye kitabu chake..
"Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana wanawake ndani ya chama, Kuna siku aliibuka nyumbani kwa Makamu wa Rais akiwa na nguo za kulalia, Makamu akamtishia kwamba angejiuzulu" Nukuu

👆🥺
 
Naona mnatumia nguvu kubwa kuzidi kumchafua Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , lakini hata mkimchafua mkumbuke kila nafsi itaonja mauti mtakemstake.
Pumzika kwa amani Dkt John Pombe Magufuli rais wa awamu ya tano, watanzania wazalendo tutaendelea kukukumbuka kwa mema uliyoitendea nchi.
 
Back
Top Bottom