Yaaahhhh...Am good...last time I saw you ilikuwa pale Jangwani....Long time sanaMiss you more jamani my neighbour.
Happy to see you again....
Happy new year
Mhhhhhh hii imekaa kihisia zaidi.Yaaahhhh...Am good...last time I saw you ilikuwa pale Jangwani...Long time sana
Happy new year too
Mwaka wa mambo makubwa
Mhhhhhh hii imekaa kihisia zaidi.
I hope so.....
Nimeuanza mwaka vibaya safarini Iringa huko,choka sana.Hhaahahahaha...lets hope ilikuwa hisia tu.....
Ila Jirani umeuanzaje mwaka?
Nimeuanza mwaka vibaya safarini Iringa huko,choka sana.
Mhhhhhh,haya bwana jiraniPole san...Nilikuwa pale Mafinga...siku tatu zilizopita.......nilinusa harufu yako
Mhhhhhh,haya bwana jirani
Lahaulaaa!!!Kwajinsi dogo alivyojieleza nachelea kusema hata diamond akiomba goti atapewa,mjini hapa kuna mambo sana.
Haya basi chei chei Harmonize.
Ositazi Juma na musoma with pncKwajinsi dogo alivyojieleza nachelea kusema hata diamond akiomba goti atapewa,mjini hapa kuna mambo sana.
Haya basi chei chei Harmonize.
Hahahahaaa umenikumbusha mbali mkuu,njaa mbaya sana.Ositazi Juma na musoma with pnc
Kwajinsi dogo alivyojieleza nachelea kusema hata diamond akiomba goti atapewa,mjini hapa kuna mambo sana.
Haya basi chei chei Harmonize.
Ati goti ndio nini...???Kwajinsi dogo alivyojieleza nachelea kusema hata diamond akiomba goti atapewa,mjini hapa kuna mambo sana.
Haya basi chei chei Harmonize.
Ndio hivyo wabongo hata kulambwa miguu watafanya hizo ridhiki tu asingekuwa domo angekuwa kwa mwingine na angetoboa tuHahahahaaa umenikumbusha mbali mkuu,njaa mbaya sana.
Umeona eeh?Umeongea jambo la maana sana.Ndio hivyo wabongo hata kulambwa miguu watafanya hizo ridhiki tu asingekuwa domo angekuwa kwa mwingine na angetoboa tu