Haya Ni Maamuzi Binafsi Ya Harmonize

Haya Ni Maamuzi Binafsi Ya Harmonize

Miss you more jamani my neighbour.
Happy to see you again....
Happy new year
Yaaahhhh...Am good...last time I saw you ilikuwa pale Jangwani....Long time sana

Happy new year too

Mwaka wa mambo makubwa
 
Yaaahhhh...Am good...last time I saw you ilikuwa pale Jangwani...Long time sana

Happy new year too

Mwaka wa mambo makubwa
Mhhhhhh hii imekaa kihisia zaidi.

I hope so.....
 
Hongera harmonize ila ungejichanga tuu uchore tattoo ya maana hiyo uliyochora ni very cheap yaani aliyechora utadhani alikua anajifunza!
 
Wamakonde malaba sijui wamakonde Chale mara wangindo naona wanazidi kupata wafuasi wengi.
 
Mkumbuke muumba siku za raha yako kabla azijaja siku za taabu na dhiki kuu..............Mi mtazamaji tuuu
 
Yupo sahihi sana, kama hujawahi kupitia wakati mgumu kt maisha alafu akatokea mtu kukushika mkono huwezi elewa, kikubwa muheshimu usimuabudu sasa
 
Harmonize ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana. Inabidi dunia yote imshukuru Diamond kwa kuipandisha hii nyota kubwa duniani, watu wenye macho mazuri naomba mumtizame huyu kijana miaka mitatu mbele alafu mseme mnamuona wapi. Sababu za yeye kuchora tattuu ni reasonable huyu kijana ni staa mpya iliyoletwa na Dangote. Ni zaidi ya Kiba ni zaidi ya Mr Nice. Harmonize baby!
 
Kwajinsi dogo alivyojieleza nachelea kusema hata diamond akiomba goti atapewa,mjini hapa kuna mambo sana.
Haya basi chei chei Harmonize.
Kwajinsi dogo alivyojieleza nachelea kusema hata diamond akiomba goti atapewa,mjini hapa kuna mambo sana.
Haya basi chei chei Harmonize.
Ati goti ndio nini...???
 
Ndio hivyo wabongo hata kulambwa miguu watafanya hizo ridhiki tu asingekuwa domo angekuwa kwa mwingine na angetoboa tu
Umeona eeh?Umeongea jambo la maana sana.
Watu wanashindwa kujua anayetoa na kupanga rizki ya mtu ni Mungu pekee,badala yake wanaabudu binadamu wenzao.
 
Back
Top Bottom