Haya ni maeneo Hatarishi sana kiusalama na maadili Dar es Salaam

Umalaya - Vijana a mikoani wanaokuja kutafuta maisha mjini hasa wa kike waliokimbia kulima. Kama una binti Dar a anakutumia pesa ya matumizi muulize kazi yake.
Ushoga - vijana wa Kaskazini na Kaskazini mashariki plus visiwani
Bangi/madawa ya kulevya - mchanganyiko wazawa na wageni
Uhalifu - vijana a mikoani wasio na kazi.
 
Kama una mtoto wako anaanza chuo/anasoma chuo usije ukamruhusu akakaa hayo maeneo utakuja kulia.
 
Kimara.
Uadilifu, kushika dini, usomi, usafi usafi usafi.
 
Inaonekana ushoga umetawala maeneo mengi huko dar!baada ya miaka 10 kutakuwa na wanaume pande hizo kweli?
Hata hivi sasa wanaume wengi Dar wanapakatwa na wenzao na ndiyo maana ule usemi wa mwanamme wa Dar umetawala sana. Ukija huku mikoani na shobo lako la Dar utakutana na wanaume wanao tongoza wenzao, wanataka kukupima tu ili wajuwe kama nawę ni shoga wa Dar.
 
1. Kinondoni - Ushoga,Ushoga,Ushoga Umalaya na Madawa ya kulevya, uhalifu

2. Magomeni na Mwananyamala - ushoga, umalaya na madawa, uhalifu

3. Ilala - ushoga , madawa, umalaya,uhalifu

4. Sinza - matumizi ya madawa x2 na umalaya, Ushoga kwa mbaliii, uhalifu

5. Temeke - umalaya,Umalaya,umalaya,uhalifu,uhalifu, uhalifu, ushoga,ushoga,bangi, bangi, bangi

6. Mbagala - Umalaya, Bangi, Ushoga, uhalifu, uhalifu.

7. Tandale - Umalaya, umalaya,umalaya ,Bangi , Ushoga, uhalifu, uhalifu

8. Buguruni - Umalaya,Umalaya,Umalaya ,Bangi, ushoga, uhalifu, uhalifu, uhalifu

9. Vingunguti - umalaya,umalaya, bangi,

10. Tandika - Umalaya, umalaya,Bangi, Ushoga

11. Kigogo - Umalaya, umalaya, Bangi, Ushoga

12. Manzese - Umalaya, Umalaya, Umalaya, Bangi, ushoga

13. Mwenge - Umalaya, madawa

14. Tabata - Umalaya, Madawa

15. Mabibo - Umalaya , Umalaya ,Bangi.
Sio dar TU.
 
sio kweli kwa ILALA hakuna uhalifu kabisa huku nyumba nyingi ni wapemba na misikiti kila kona na tunalala saa nyingine bila kufunga mlango tunasahau ni ni poa tu watu wanatembea masaa 24 chips mpaka asubuhi hata ushoga huku ni mdogo mno,
 
Ilala kuna pisi kali sana
 
Kama una mtoto wako anaanza chuo/anasoma chuo usije ukamruhusu akakaa hayo maeneo utakuja kulia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Chuo penyewe ni kilio tosha, hadi akae huko ya nn??
 
Hata hivi sasa wanaume wengi Dar wanapakatwa na wenzao na ndiyo maana ule usemi wa mwanamme wa Dar umetawala sana. Ukija huku mikoani na shobo lako la Dar utakutana na wanaume wanao tongoza wenzao, wanataka kukupima tu ili wajuwe kama nawę ni shoga wa Dar.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jamanii
 
1. Kinondoni - Ushoga,Ushoga,Ushoga Umalaya na Madawa ya kulevya, uhalifu

2. Magomeni na Mwananyamala - ushoga, umalaya na madawa, uhalifu

3. Ilala - ushoga , madawa, umalaya,uhalifu

4. Sinza - matumizi ya madawa x2 na umalaya, Ushoga kwa mbaliii, uhalifu

5. Temeke - umalaya,Umalaya,umalaya,uhalifu,uhalifu, uhalifu, ushoga,ushoga,bangi, bangi, bangi

6. Mbagala - Umalaya, Bangi, Ushoga, uhalifu, uhalifu.

7. Tandale - Umalaya, umalaya,umalaya ,Bangi , Ushoga, uhalifu, uhalifu

8. Buguruni - Umalaya,Umalaya,Umalaya ,Bangi, ushoga, uhalifu, uhalifu, uhalifu

9. Vingunguti - umalaya,umalaya, bangi,

10. Tandika - Umalaya, umalaya,Bangi, Ushoga

11. Kigogo - Umalaya, umalaya, Bangi, Ushoga

12. Manzese - Umalaya, Umalaya, Umalaya, Bangi, ushoga

13. Mwenge - Umalaya, madawa

14. Tabata - Umalaya, Madawa

15. Mabibo - Umalaya , Umalaya ,Bangi.
Ninashukuru Kawe yangu wala haipo.
 
Kama una mtoto wako anaanza chuo/anasoma chuo usije ukamruhusu akakaa hayo maeneo utakuja kulia.
Akakae wapi kila sehemu hizo Mambo zipo hakuna ambako hawavuti bangi hakuna ambako hawafanyi umalaya hilo la ushoga libaki huko huko Kinondoni huku kwetu tukikugundua wewe ni shoga tunakusilimisha kilazima unakua muislamu
 
Wapi huko tupajue, mashoga wako kila sehemu khaaah
 
Back
Top Bottom