Haya ni maeneo Hatarishi sana kiusalama na maadili Dar es Salaam

Kwa kifupi dar hakuna sehem salama kuishi au kufanya malezi kwa sasa hv....na jinsi mji unavyozidi kutanuka jumlisha utandawazi na hali ya miasha....its like "things are falling apart"....tupige goti tumrudie Muumba

Ndio kilicho baki walahi
Ehhh Mwenye Enzi Mungu
Muumba wa vitu vinavyo onekana na visivyo onekana
Tusaidie utuokoe nchi yetu Tanzania [emoji1241]
Hebu angalia mambo yanayo endelea ehh Mola wangu shusha Malaika zako waje kutoka mbinguni, na sehemu zote walipo wachome moto huu ujinga wa mashoga na madawa ya kulevya na uchafu mwingine wowote ule
Yaani uwa teketeze, uwa teketeze na uwa teketeze tena walahi![emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062]fire [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
15 hapo nimepamiss mabibo mwisho hapo,Supu la utumbo asubuhi na chapati,jioni supu ya pweza.Mchana tulikua tunaenda kuchukua samaki kuruka mabwawani kule.Dar kuna wanawake wazuri usipime.Najichanga ntakuja Dar kutembea
 
Bangi imekukosea nini ?
Yaani Una Group Bangi na Vitu vya hovyo kama Ushoga, kuwa serious wewe
 
Kwa hyo hata nisiuze beberu langu ili nije dasilamu?maana kwa hali hio hasa ushoga inatisha!!anyway nina iman bado kuna wema katkat ya hao waovu
 
Bandari salama salmini hiyo!
 
Mbona sehemu zote muhimu umezitaja
 
Masaki, Umalaya ila wa bei ya juu, madawa il ya bei ya juu, Uhalifu ila ufisadi wa hali ya juu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jamanii
Ndiyo ukweli huo bibie cocastic si kila mwanamme umuonae hapo mtaani kwako kakamilika, jaribu kuwatongoza tu kama hawajakuuliza eti una karoti au tango? Dar ina vituko jamani, msisikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…