Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

UONGO HUO KABISA, Makampuni 400 yapo kijiji gani, Israel ni u aguzi mtupu ndio alete mkorea mjapani, nina jamaa yangu yupo Chimendeli Dodoma ananiambia hao watu ni kilimo cha umwagiliaji, na madawa tu
ubunifu ni Misri na Iran wanacheza na nyuclia atom nk
 
Mimi sio muhumini wa data za design za namna hii. Mlituaminisha na da za namna hii na mkasema Russia hatatoboa katika vita ndani ya miezi mitatu.

Mambo ya kijeshi yana siri mno, sio ya kukuta kwenye makaratasi ya namna hii
 
Basi dogo kweli hujui kitu. Russia alisema HII OPERATION ANAMALIZA NDANI YA WEEK. AU NIKUPE REFERENCE?NA ALISEMA SIYO VITA NI OPERATION. HEBU ULIZA SASA NI MUDA GANI. YAANI ASITOBOE MIEZI MITATU KWA KANCHI KAMA UKRAIN? HAKO SI NI SIKU 5 TU ANAMALIZA? UNGEKUWA UNAJUA KIINGEREZA au unakaa na watu wenye akili ungejifunza. Hapa tena unaleta Russia vs Ukraine ambayo nayo huijui. 😁
 
Mimi sio muhumini wa data za design za namna hii. Mlituaminisha na da za namna hii na mkasema Russia hatatoboa katika vita ndani ya miezi mitatu.

Mambo ya kijeshi yana siri mno, sio ya kukuta kwenye makaratasi ya namna hii
PUtin alisema ni threed day special operation. Una elimu gani? Mwambie mtu akutafsirie hapo. Leo ni muda gani?😁
 
Kwamba chip ni za isreali kha mbona kali ya mwaka hicho kiwanda kinaitwaaje sasa
 
CHawa wa mama (Tanzania) - Inashirikiana indirectly na mvaa miremba wa Tanzania kwenye kutafiti vijishughuli mbalimbali vitakavyosaidia kula pesa za wananchi wasiojitambua na kumpumbaza yule bibi ushungi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…