Haya ni makosa watu huyafanya na kuwagharimu kwenye ngumi za Mtaani (Street Fights)

Kwamba unaomba mungu atokee mtu aamue ahahahahahahahahaa.
 
"Nimependa uzi wako"

Ila kwakuwa sasa hivi watu wengi wanaumwa magonjwa MTAMBUKA ni vizuri kujiepusha na ugomvi hata Kama MTU una mmudu .
Kweli aiseee....

Unaweza kuishia kupata kesi mbaya itakayokugharimu pakubwa
 
Kipi rahisi kwako mkuu, kuwa mikononi mwa polisi au kuwa marehemu na muuaji wako awe mikononi mwa polisi? Kile rahisi ndo option sahihi.

Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagu. Kama unadhani kubaki jera ni uhai, basi nao ni uchaguzi
 
Una umri gani bro, ambaye mpaka wa leo unawaza kupogana ngumi.
Siku hizi kuna usemi, kabla ya kupigana na mimi, utapigana na hela yangu. No physical fights, kama kipindi cha ujima
Boss wa Super Feo na mpambe wake walitembezewa mkong'oto na Mchina wa New Force pale Songea.

Unaongelea pesa?
 
Hahaha dahh
 
Sikuhiz ugomvi sio isue vijana wanaongoza kutembea na visu na viwembe tena mkalie mbali usiruhusu akusogelee then kuwa makini mikonon mwake, huwa wakitoa anaewa kukua na endapo atakushikia silaha ukiweza mtyming basi mpe kisago adi akalazwe
 
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagu. Kama unadhani kubaki jera ni uhai, basi nao ni uchaguzi
Mkuu, ukishambuliwa na mwizi mtaani na una nafasi ya kumtusua utamwacha akufanye atakavyo sababu unaogopa asife?
 
daaaaah Yani mwisho wa mwaka unatoa mbinu za kupigana?!
 
Mimi nachojua ukipigana na adui haitakiwi uwe muoga hatakama unaona haumudu inatakiwa ujiamini sana.. na kama adui atadhamiria kutumia silaha za maangamizi za kuondoa uhai wako. Basi "lethal force" inabidi itumike haraka iwezekanavyo ili kuokoa uhai wako na sheria itakulinda
 
Kukimbia ni lazima upate uchungu wa mapigo ya mpinzan wako,huwez kukimbia hivi hivi tu kwa maneno
 
Uzi mzur sana huu

Mimi sikupata fursa ya kupgana pgana wakat nikiwa mdogo

Hvyo najitahid kwa watoto wangu hasa wa kiume wawe kidogo na kauwezo kakupambana ili kuondoa uonevu wa kijinga mtaan
 
Mkuu, ukishambuliwa na mwizi mtaani na una nafasi ya kumtusua utamwacha akufanye atakavyo sababu unaogopa asife?

Kwa mwizi inaeleweka. Na huwa niko fiti sana kumdhibiti mhalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…