Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba unaomba mungu atokee mtu aamue ahahahahahahahahaa." Kumsumkuma mtu baada ya kusukumwa"
..................
" Ikiwa umesukumwa jibu kwa ngumi, usijibu kwa msukumo".😁😁😁 SIO RAHISI KIHIVYO MKUU.
Mkuu kusema ni rahisi kuliko kutenda. Ngumi sio sawa na mpira wa miguu kwamba useme ukizidiwa utampasia mwenzako.
Uzi wako ni sahihi kabisa kama unaongea na watu wangumi na sio wenzangu na Mimi ambae anaingia kwenye pambano la ngumi huku kimoyomoyo akiomba Mungu afanye muujiza atokee mtu wa kuamua.
Kikubwa kuliko vyote ambacho umekisahau ni kuhusu saikolojia ya watu kwenye ngumi.
Unajua kwanini mtu huwa anasukuma baada ya kusukumwa? Do u know the psychology behind?
Ni kwamba wote wana ogopana? Anaeanza kusukuma anaogopa na anae rudisha msukumo anaogopa pia.
Wanasukumana kwa ajili ya kubuy time waje watu wagombelezee au kujaribu kugather courage ya kurusha ngumi kwa mara ya kwanza.
Kupigana sio jambo rahisi kama ambavyo mtoa mada unajaribu kuiweka
Kweli aiseee...."Nimependa uzi wako"
Ila kwakuwa sasa hivi watu wengi wanaumwa magonjwa MTAMBUKA ni vizuri kujiepusha na ugomvi hata Kama MTU una mmudu .
Kipi rahisi kwako mkuu, kuwa mikononi mwa polisi au kuwa marehemu na muuaji wako awe mikononi mwa polisi? Kile rahisi ndo option sahihi.
Boss wa Super Feo na mpambe wake walitembezewa mkong'oto na Mchina wa New Force pale Songea.Una umri gani bro, ambaye mpaka wa leo unawaza kupogana ngumi.
Siku hizi kuna usemi, kabla ya kupigana na mimi, utapigana na hela yangu. No physical fights, kama kipindi cha ujima
Yeah ..unaeza enda jela kijinga jinga"Nimependa uzi wako"
Ila kwakuwa sasa hivi watu wengi wanaumwa magonjwa MTAMBUKA ni vizuri kujiepusha na ugomvi hata Kama MTU una mmudu .
Hahaha dahh" Kumsumkuma mtu baada ya kusukumwa"
..................
" Ikiwa umesukumwa jibu kwa ngumi, usijibu kwa msukumo".😁😁😁 SIO RAHISI KIHIVYO MKUU.
Mkuu kusema ni rahisi kuliko kutenda. Ngumi sio sawa na mpira wa miguu kwamba useme ukizidiwa utampasia mwenzako.
Uzi wako ni sahihi kabisa kama unaongea na watu wangumi na sio wenzangu na Mimi ambae anaingia kwenye pambano la ngumi huku kimoyomoyo akiomba Mungu afanye muujiza atokee mtu wa kuamua.
Kikubwa kuliko vyote ambacho umekisahau ni kuhusu saikolojia ya watu kwenye ngumi.
Unajua kwanini mtu huwa anasukuma baada ya kusukumwa? Do u know the psychology behind?
Ni kwamba wote wana ogopana? Anaeanza kusukuma anaogopa na anae rudisha msukumo anaogopa pia.
Wanasukumana kwa ajili ya kubuy time waje watu wagombelezee au kujaribu kugather courage ya kurusha ngumi kwa mara ya kwanza.
Kupigana sio jambo rahisi kama ambavyo mtoa mada unajaribu kuiweka
Hahahahaaaaa 🤣🤣🤣🤣 wee mjinga sana wakunichekesha hadi macho kweli. HahahaaaaaTuhurumie kaka wiki hii tumedanganywa sana humu, usituongezee dozi.
Mkuu, ukishambuliwa na mwizi mtaani na una nafasi ya kumtusua utamwacha akufanye atakavyo sababu unaogopa asife?Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagu. Kama unadhani kubaki jera ni uhai, basi nao ni uchaguzi
Kukimbia ni lazima upate uchungu wa mapigo ya mpinzan wako,huwez kukimbia hivi hivi tu kwa manenoAsante kwa SoMo zuri hasa kwasisi wababe uchwara wa mtaa .
Mimi najitahidi kuongeza pumzi ya kukimbia lakini pia najaza kamkono kangu ,alafu mdomo mkwara mwingi kiasi kwamba Kama hunijui ukakuta nampiga mtu biti basi utasema jamaa anaua .
Ila kubwa kuliko najitahidi kuwa na mbio shitukizi yaani kikubwa sahau kupambana na Mimi dakika kumi na tano alafu naona utanizidi maguvu lazima nile winga
Ila sipigani sehemu nisiyoona Kuna ukaribu na mawe ili hata njia za kula winga zikifungwa basi nihamie kwenye mandazi ya Mungu
Mkuu, ukishambuliwa na mwizi mtaani na una nafasi ya kumtusua utamwacha akufanye atakavyo sababu unaogopa asife?
Boss wa Super Feo na mpambe wake walitembezewa mkong'oto na Mchina wa New Force pale Songea.
Unaongelea pesa?
Kwahiyo wewe haujawahi kupokea mkong'oto ? Umekosa experience kubwa Sana maishani mwakoUzi mzur sana huu
Mimi sikupata fursa ya kupgana pgana wakat nikiwa mdogo
Hvyo najitahid kwa watoto wangu hasa wa kiume wawe kidogo na kauwezo kakupambana ili kuondoa uonevu wa kijinga mtaan
Hata anayekuvamia akudhuru ni mhalifu mkuu.Kwa mwizi inaeleweka. Na huwa niko fiti sana kumdhibiti mhalifu