2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
TAHADHARI: MADA SIO YA KIDINI
Katika ulimwengu tuliopo na tulikopita kuna makundi au kazi ambazo ukifanya tu kaa ukijua lazma utende dhambi kwa lazma.
Orodha ambayo ni vigumu sana kuuona ufalme wa Mungu.
1. Maafisa wa TRA
Hawa watu hawana utu kabisa,wao hujiangalia wao tu. Hawafanya makadirio kwa haki mpaka umpe rushwa na anaweza akakataa vile vile.
2. Jeshi la polisi Tanzania
Hapa siongei sana kila mtu ni shuhuda. Hakunaga haki polisi ya Tanzania.
3. Mafundi wowote
Hapa waadilifu ni wachache sana,labda ukute anamwogopa Mungu kwa kiasi fulani lakini lazma tu akudanganye.
4. Wanajeshi
Usiue lakini ukiwa mwanajeshi sheria hii ya Mungu haitofanya kazi na bila kuitii wewe utaitwa msaliti na kifo kitakuita.
5. Wafanyabishara matajiri
Hakuna ubaya kuwa tajiri lakini wengi wao huabudu mali zao,kila wakati wanawaza mali zao,pesa zao na jinsi ya kujiongezea mali nyingi zaidi jambo ambalo linamueka kando Mungu.
Ni kazi gani nyingine?