Haya ni makundi ambayo hayataingia kwenye ufalme wa Mungu: Jitazame wewe uko wapi?

TAHADHARI: MADA SIO YA KIDINI
Katika ulimwengu tuliopo na tulikopita kuna makundi au kazi ambazo ukifanya tu kaa ukijua lazma utende dhambi kwa lazma.

Orodha ambayo ni vigumu sana kuuona ufalme wa Mungu.

1. Maafisa wa TRA
Hawa watu hawana utu kabisa,wao hujiangalia wao tu. Hawafanya makadirio kwa haki mpaka umpe rushwa na anaweza akakataa vile vile.
2. Jeshi la polisi Tanzania.
Hapa siongei sana kila mtu ni shuhuda. Hakunaga haki polisi ya Tanzania.

3. Mafundi wowote:
Hapa waadilifu ni wachache sana,labda ukute anamwogopa Mungu kwa kiasi fulani lakini lazma tu akudanganye.

4. Wanajeshi.
Usiue lakini ukiwa mwanajeshi sheria hii ya Mungu haitofanya kazi na bila kuitii wewe utaitwa msaliti na kifo kitakuita.

5. Wafanyabishara matajiri: Hakuna ubaya kuwa tajiri lakini wengi wao huabudu mali zao,kila wakati wanawaza mali zao,pesa zao na jinsi ya kujiongezea mali nyingi zaidi jambo ambalo linamueka kando Mungu.

Ni kazi gani nyingine?
  • Wachawi
  • Wanawake wanaoomba watumiwe nauli na ya kutolea halafu wanazima simu
  • Wanawake wanaoomba hela ya kwendea saluni huku wakiimba solidarity forever wakati Ukraine 🇺🇦 wanawake wenzao wanamiminiwa mabomu
 
TAHADHARI: MADA SIO YA KIDINI
Katika ulimwengu tuliopo na tulikopita kuna makundi au kazi ambazo ukifanya tu kaa ukijua lazma utende dhambi kwa lazma.

Orodha ambayo ni vigumu sana kuuona ufalme wa Mungu.

1. Maafisa wa TRA
Hawa watu hawana utu kabisa,wao hujiangalia wao tu. Hawafanya makadirio kwa haki mpaka umpe rushwa na anaweza akakataa vile vile.
2. Jeshi la polisi Tanzania.
Hapa siongei sana kila mtu ni shuhuda. Hakunaga haki polisi ya Tanzania.

3. Mafundi wowote:
Hapa waadilifu ni wachache sana,labda ukute anamwogopa Mungu kwa kiasi fulani lakini lazma tu akudanganye.

4. Wanajeshi.
Usiue lakini ukiwa mwanajeshi sheria hii ya Mungu haitofanya kazi na bila kuitii wewe utaitwa msaliti na kifo kitakuita.

5. Wafanyabishara matajiri: Hakuna ubaya kuwa tajiri lakini wengi wao huabudu mali zao,kila wakati wanawaza mali zao,pesa zao na jinsi ya kujiongezea mali nyingi zaidi jambo ambalo linamueka kando Mungu.

Ni kazi gani nyingine?
Wewe hutaingia mbinguni
 
Ufalme wa mbinguni ni wenye nguvu pekee ndio wataingia ukiwa mnyonge na dhaifu sahau kuingia mbinguni
 
TAHADHARI: MADA SIO YA KIDINI
Katika ulimwengu tuliopo na tulikopita kuna makundi au kazi ambazo ukifanya tu kaa ukijua lazma utende dhambi kwa lazma.

Orodha ambayo ni vigumu sana kuuona ufalme wa Mungu.

1. Maafisa wa TRA
Hawa watu hawana utu kabisa,wao hujiangalia wao tu. Hawafanya makadirio kwa haki mpaka umpe rushwa na anaweza akakataa vile vile.
2. Jeshi la polisi Tanzania.
Hapa siongei sana kila mtu ni shuhuda. Hakunaga haki polisi ya Tanzania.

3. Mafundi wowote:
Hapa waadilifu ni wachache sana,labda ukute anamwogopa Mungu kwa kiasi fulani lakini lazma tu akudanganye.

4. Wanajeshi.
Usiue lakini ukiwa mwanajeshi sheria hii ya Mungu haitofanya kazi na bila kuitii wewe utaitwa msaliti na kifo kitakuita.

5. Wafanyabishara matajiri: Hakuna ubaya kuwa tajiri lakini wengi wao huabudu mali zao,kila wakati wanawaza mali zao,pesa zao na jinsi ya kujiongezea mali nyingi zaidi jambo ambalo linamueka kando Mungu.

Ni kazi gani nyingine?
Mambo ya kwenda mbinguni anayajua Mungu mwenyewe inawezekana ukamwona mtu mshenzi na nn lakn siku ya siku akaenda mbinguni na yule ambaye kila siku kanisani akaenda motoni
 
Tukiwapiga mitama mnaanza wanajeshi wakolofi .kama unaijua biblia baada ya harun na moses kufa aliefuata yoshua kaua zaidi ya falme 31 na maelfu ya watu
 
Kwa muelekezo wa Mungu sio kujiamulia
 
yule mwenye uzi wa kula kimasihara sijui..... yaani yule sijui.....
 
Mkuu ina maana wewe ndo utakaa jukwaa la kaskazini kule mbinguni
 
Kwanini wavamie? Unamaana kuna haki zao zimebinywa
wanahaki ya kuua masses of innocent people?wale wa kibiti walitaka haki gan ?msumbiji,kenya,somalia ni ulevi wa kidini uliochanganyika na ushetani
 
Back
Top Bottom