Haya ni makundi ambayo hayataingia kwenye ufalme wa Mungu: Jitazame wewe uko wapi?

Haya ni makundi ambayo hayataingia kwenye ufalme wa Mungu: Jitazame wewe uko wapi?

Ukihukumu na wewe utahukumiwa!!.....na kwa kipimo kile upimiacho ndo utakacho pimiwa......wala huoni boriti iliyo ndani ya jicho lako!......ewe mnafiki ondoa boriti.... Mathayo7;1 kwa sababu Mungu mwana aliyanena haya... ivo!!

na wewe umo kwenye hukumu!....kwa muktadha huo badili kichwa cha habari kiwe ivi......''Haya ni makundi ambayo hatutaingia kwenye ufalme wa Mungu'' unasikia!! Km haitoshi soma Warumi 2;1-4.....je? wadhani utajiepusha na hukumu ya Mungu?.........

Mbali na hapo hii kuhukumu wenzio ... inatosha kukuhukumu siku ya Mwisho!!....kila mtu humu anajua Zakayo alikuwa TRA wa enzi hizo!! lkn Mwana wa Mungu alimuita!! na zaidi ya yote alienda kupiga Msosi nyumbani Mwake!!! sasa ina maana yeye alikula vya mdhambi???

Yaani umeamua kukashfu maksudi siyo? ebu tamka mwenyewe unamlenga nani!! kabla sija kushushia vitu vizito sasa ivi!!..... si unajua humu unaweza jibizana na Malaika bila ya wewe kujua??.. Labda utubu kwa Moyo wa dhati na mie nijue kweli umetubu!!

lkn ukiweka kiburi mbele hukumu ya haki ina kuhusu!! kwa mujibu wa nukuu ya Maandiko hayo!....Nasubiri hapa utubu............
 
Wooote tutaingia motoni, kifo cha weng n harus 😜
 
𝐊𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐣𝐞𝐬𝐡𝐢 𝐭𝐨𝐚 𝐰𝐞𝐤𝐚 𝐦𝐚𝐛𝐨𝐝𝐚 𝐛𝐨𝐝𝐚, 𝐩𝐢𝐚 𝐨𝐧𝐠𝐞𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐰𝐚𝐤𝐢𝐥𝐢, 𝐦𝐚𝐡𝐚𝐤𝐢𝐦𝐮, 𝐧𝐚 𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐢𝐜𝐡𝐞𝐩𝐮𝐤𝐨 𝐰𝐨𝐭𝐞,
 
sie wa chaputa tutakuw tunachochea kuni za hao maafwande
𝐃𝐮𝐮𝐮𝐮𝐡, 𝐢𝐥𝐚 𝐰𝐞𝐞 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐧𝐢 𝐜𝐨𝐦𝐞𝐝𝐲 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢, 𝐤𝐰𝐚𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐜𝐡𝐚𝐩𝐮𝐭𝐚 𝐢𝐥𝐢𝐫𝐮𝐡𝐮𝐬𝐢𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐬𝐢𝐨, 𝐭𝐞𝐧𝐚 𝐮𝐧𝐠𝐞𝐣𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐢 𝐝𝐡𝐚𝐦𝐛𝐢 𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐬𝐚𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐜𝐡𝐚𝐰𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐯𝐲𝐨 𝐮𝐚 𝐦𝐭𝐮 𝐢𝐥𝐚 𝐛𝐚𝐬𝐢 𝐭𝐮 𝐡𝐮𝐣𝐮𝐢
 
Back
Top Bottom