Uchaguzi 2020 Haya ni mambo 10 niliyoona kwa CCM Vs CHADEMA mpaka sasa kuelekea kipute cha kampeni rasmi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mleta mada ana hoja sana ila ndio hivyo ubishi umewajaa
 
Hoja nzuri, ila Lissu anahitaji wachambua hoja kama ZZK kwenye kampeni. Chadema hawana wachambua hoja.

Chadema wanaweza kuwa wanahitaji muungano kuliko ACT kwa sababu JPM amesha jifunza namna ya kupambana na siasa za Uharakati. Ila siasa za hoja CCM haiwezi. ACT wamejikita kwenye siasa za Hoja.

Tungoje tuone ila kama muungano wa Upinzani haitakuwepo basi ACT ataweza kupata viti vingi Bungeni kuliko Chadema.
 
Very objective observation or points ila Ufipa watapinga itadhani ni matusi kumbe ni silaha umewapa ya kujilinda. Wacha wabaki mtandaoni na matamko ya jogoo watastuka wenzao wapo mbali mno.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu wa mwaka huu
 
We unahangaika sana! Utagawa sana hicho kitobo kwasababu ya shibe
Wewe una matusi sana hiyo pichu utavaa kichwani utakaposhuhudia Lisu akitangazwa kapata 20%
 
Umetoa maoni yako vzr tu.
Mwenye akili atayatumia kunufaika, tatizo wengi nadhani humu ni vijana wadogo ambao wanadhani nguvu za kimwili ni uwezo.
Hata kumuibia mwenzako ni strategy inayohitaji werevu, usione wale wachezesha karata 3 wamejipanga kuondoka na hela .

Hili la tume huru sawa lkn kama kuibiwa hata kwa kuhesabu mikono kama watu wamejipanga wanakutoka ukiwa hapo. Mbona hii ya keusi na kekundi watu hawafungwi macho?

Ukisikia wazee wamememaliza tofauti zao chunga sana.
Watakuacha uzungunge Tz hii na Cruizer halafu unaliwa dk za majeruhi wanakaa kunywa kahawa.
Hii mbinu ya kuchokozana wao kwa wao sijui kwanini watu hawaelewi?
Mbona wahuni tu mtaani hujifanya kupigana ili mkisogea watoke na kitu cha mtu au wakubambikie unatakakuwaibia?.

Ikumbukwe sisiem ni miongoni mwa vyama vyenye nguvu duniani kati ya vyama vya siasa. Sasa hivi wako kipya kama hawapo.

Kwa Maoni yangu huenda mwaka hui sisiem wakawa na upinzani mdogo kuliko kwa sababu kura za upinzani zitagawanyika mara 2.
Act na cdm wanaugawa upinzani.

Mwisho Tz ni yetu. Hata mi nataka kuwatumikia kama rais wenu 2025.
Chama mtanichakulia wenyewe
 
Sasa watu kama Lusungo, Bak, salary slip and the like, hao hawatumiagi akili ni full mihemuko
 
Mtu kama Prof Baregu sifahamu aliko kwasasa au ameachana na siasa.
Kuna watu mhimu zaidi hawapo nao tena ndio maana sarakasi zimekuwa nyingi.

Imagine Tundu Lissu bado anawaambia WANANCHI Mbowe alipigwa na WASIOJULIKANA, HII N KUKOSA facts za kuwaambia Watanzania na kutaka huruma za Watanzania.
 
Mtazamo
Kwani unalipwa kiasi gani ?
 

Kwanza kula 5 kijana kwa bandiko mujarab.

Wanachokifanya upinzani hadi sasa ni kurusha makombora ya masafa mafupi yalokoswa kiufundi.

Na hata wakianza kurusha yale ya masafa marefu CCM iko tayari kuyapokea hukohuko hewani maana yatakuwa hayana mwelekeo sahihi.

Tungoje kameni zianze rasmi.
 
0
 
Ni bahati mbaya tu, unajaribu kulinganisha Mazuri ya aliyepo madarakani dhidi ya mapungufu ya mpinzani wake.

Laiti ungefanya kinyume cha nilichokisema hapo juu ungeshangaa mwenyewe kuona ni wapi mizania imelalia!
 
..
Kimbinu Chadema wanahitaji timu bora kumzunguka Lissu wakiwemo waandamizi wa serikali zilizopita akiwemo Nyalandu ili kumshape Lissu kama Mgombea Urais lakini pia mipango ya kusaidia kampeni Majimboni ambako hali si nzuri...

Kwa nyongeza, iwapo CHADEMA, chama ambacho viongozi wake, wanachama na wafuasi wanaamini Lissu ni mtaji mkubwa au turufu ya kuingia Ikulu, wanapaswa kutambua yafuatayo:
1) Lissu siyo mwanasiasa wala mwanaharakati kwa hoja zake na matendo. Ili awe "presidential material" yabidi apigwe msasa. Hoja zake hadi sasa ni kama za kuwasilisha mahakamani.
2) Wagombea wa CHADEMA wajipange vilivyo kujibu tuhuma dhidi ya M/Kiti wao kuhusu matumizi mabaya ya fedha za chama, rushwa ya ngono, na ulevi wake wa kupindukia.
3) Kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa athari zake zitaonekana wakati wa kampeni, ikizingatiwa chama kina upungufu wa fedha kuendesha kampeni.
4) Kitendo cha CHADEMA, Chama Kikuu cha Upinzani, kuwaengua Wabunge wengine wa vyama vya upinzani, kwenye Baraza la Mawaziri kivuli, athari zake zitajitokeza katika Uchaguzi Mkuu huu.
5) Hama hama ya Madiwani na Wabunge kwenda vyama vingine vya siasa, hasa CCM, na kudaiwa wamenunuliwa, pia madhara yake yatajitokeza kwenye mchakato wa Uchaguzi Mkuu.
6) Matumizi ya lugha isiyo staha, hasa ikilenga kumdharilisha na kumtukana Rais, inaweza kuwa "pendeka" kwa wafuasi lakini si kwa jamii ya WaTz ambao kwao heshima ni kitu cha bure.
 

..nina wasiwasi ccm watafanya kampeni za mipasho kama walivyokuwa wakifanya ktk bunge la Ndugai.

..miaka ya zamani ccm walikuwa wanaonekana watu wenye heshima, na hadhi fulani ktk jamii, lakini tangu Jpm aingie wamebadilika na kuwa watukanaji. Na kwa kuwa hawachukuliwi hatua na Polisi, ccm wameanza kuonekana kama ni bullies/madhalimu.
 
Word, Magu hapendi uchaguzi huru na hili cdm na Act wanalijua sasa wameamua kumvuruga kwanza nje ya uwanja
 

Kwani Chadema hawatukani?

Haoa mtandaoni tu ni kielelezo cha watu fulan humu kushindwa kujibu hoja na walicho nacho to offer ni matusi.

CCM safari hii nadhani wamejipanga vizuri zaidi kukilo miaka yote.

Ndo maana wamewaachia tu uwanja kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…